Ninapomwona dada yangu na mwanaume moyo unaanza kuuma.

kila mla vya wenzie na vyake pia huliwa, vumilia tu kwani anachokifata dada yako huko wewe huwezi kumpa.
 
Habari zenu humu Jamvini.

Mbona mi nikimwona dada yangu au mdogo wangu wa kike na mwanaume/boyfriend wake moyo unauma?yaani nahisi kama atakuja kutendwa au kuharibiwa malengo yake,halafu mi nikifukuzia dada za watu naona iki poa tu,hivi na nye mnaumia mnapoona dada zenu au wadogo zenu wa kike na boyfriend zao?
Halafu nye wadada mkiwaona kaka zenu na girlfriends zao mnawaonea huruma kuhofia watakuja kutendwa?

hahahaaaa......Muosha huoshwa.
 
teh teh teh mi siwafanyagi kitu halafu naogopa kuwatenda mana sitaki kuwaumiza

hahahah..... Unadhani wote wawatendao wapenzi wao wanapenda?

Kama ni hivyo basi sie ambao hatuna dada tumebahatika.

Kuna ndugu yako namtafuta mno... Nimefurahi kukuona, (najua hunifahamu) but please yule ambae wafanana nae sana mwambie I have genuienly missed him na regards to him sana.

Mdogo/mtoto wa kike anauma sana, ila wa kiume unamuona jembe tu acha lilime.

Hapo chacha....
 
Mi nilishawah kufokewa laivu na mabroo wa shemeji yenu, almanusura wanichape makofi, sijui wanawazaga nini, bt hata mimi naumiaga kimtindo nikiona kajamaa kanakuja kwa dogo tena mpaka home.
 
Habari zenu humu Jamvini.

Mbona mi nikimwona dada yangu au mdogo wangu wa kike na mwanaume/boyfriend wake moyo unauma?yaani nahisi kama atakuja kutendwa au kuharibiwa malengo yake,halafu mi nikifukuzia dada za watu naona iki poa tu,hivi na nye mnaumia mnapoona dada zenu au wadogo zenu wa kike na boyfriend zao?
Halafu nye wadada mkiwaona kaka zenu na girlfriends zao mnawaonea huruma kuhofia watakuja kutendwa?

Mkuu utajipa stress za bure, uwe unawagawia CONDOM tu. Kuwachunga utaonekana chizi.
 
Mi nilishawah kufokewa laivu na mabroo wa shemeji yenu, almanusura wanichape makofi, sijui wanawazaga nini, bt hata mimi naumiaga kimtindo nikiona kajamaa kanakuja kwa dogo tena mpaka home.

ila pale anapokuja home ni kama madharau bhana
 
Mkuu utajipa stress za bure, uwe unawagawia CONDOM tu. Kuwachunga utaonekana chizi.

mkuu hilo nalo la msingi,ila itakuwa kama umewahalalishia ili wajiachie
 
Baba'ako mgawaji?

Nikikujibu ndio au hapana nitakuwa nakudanganya, kwa sababu sijawahi kupata tamko lake kuhusu jambo hili, off course hata kumuuliza sijawahi. Nadhani ni siri yake mwenyewe aisee...
Sasa nikuulize wewe, huwa unagawa?
 
Me 'nna mdogo wangu kisu balaa! Kasheshe akija rafiki yake wa kiume,huwa simruhusu huyo boy aingie ndani kwetu,mbaya zaidi kuna kajibaraza falani hv home huwa natulia tuli kuwasikiliza maongezi yao,akimaliza maongezi namshika mdogo wangu mkono ndani....,haya we boy kwenu...ala! Yani hata muda wa hug..,hamna! Pumbavu!
Watu tumezaliwa 3 halafu unaleta mchezo hapa! Lakini cha ajabu yule boy hata ukimwambia akupeleke outing Dubai anakupeleka,na chochote utakacho,ila roho inauma coz naona kama anachezewa tu,ndo mana biti kali,
 
ahaaaa...kumbe sumu apewe mbuzi...paka ana roho saba eeeh!...inabidi uwe mpole...wenzio tunakaa kwa shemeji(alipoolewa dada yangu) afu tumetuliaaa...!anadundwa kiroho safi tuu!..lol
 
Back
Top Bottom