Ninampenda kweli huyu mwanaume

you are a captive of your own identity living in prison of your own creation!!!....the captivity of negativity is killing you!
Haha!Umenikumbusha PRISON BREAK.Maneno ya Theodore Bagwell a.k.a T-Bag!
---Believdat---
 
Kwani mkisex raha atasikia peke yake au na wewe pia?
Kaa ukijua men can't survive in a love relationship without sex!Excuse me!
---Believdat---
 
wakina dada mmeshazoea kudanganywa, kwahiyo wale wanaokuja kiukweli hawakubaliki au wanawekwa kwenye mashaka, lakini akija mjanjamjanja, na maneno matamu fast ungempa, sasa huyo kakupenda kweli wewe unatilia mashaka. Wewe jamboa la msingi mwambie afuate utaratibu wa ndoa basi, hapo unamjua kama kweli yuko serious au lah, miezi saba mnafanaya nini, akipata mwingine utasemaje, angalia mnapenda?, pili mnaelewana kitabia na interest zenu? hayo lazima yaende sambamba vinginenvyo hayo mengine ni matokeo tu.
 
tena ni hatari kwako kama hujawahi kumpa muda wote unafikiri anakidhi wapi haja zake, kwani muda ni mrefu, kama binadamu na mwanamume ambae ameshaonja, hapo kuna uwezekano anapata haja zake, harakisha ajitambulishe muendelee na maandalizi muoane, dada usiweke usiku chelewa chelewa utakuta mwana si wako....ooohoooo!!!
 
Unajua ninyi wanawake cjui huwa mnafikiria nn? Penz bila kufanya sio kitu,,hal kadharika hata nomino bila tendo huwez kupata maana halisi.
 
Dada yangu nakushauri usikubali kabisa kumvulia nguo huyo jamaa, subiri tu mpaka siku ya ndoa nakwambia hakuna sex yenye raha kama inayoanza ndani ya ndoa asikudanganye mtu bwana. Nasisitiza dada yangu usikubali kabisaaaaaa
 
naona mjadala mzima una-revolve around kutoa au kutotoa 'k' ya Smile.... sijui jamaa akimega anaondoka nayo... angalia usijemjengea jamaa impression kwamba una 'k' yenye viwango ndiyo maana unaibania halafu siku ya D-day akakuta kumbe ni mdebwedo like the rest of them...lazima akutose
 
naona mjadala mzima una-revolve around kutoa au kutotoa 'k' ya Smile.... sijui jamaa akimega anaondoka nayo... angalia usijemjengea jamaa impression kwamba una 'k' yenye viwango ndiyo maana unaibania halafu siku ya D-day akakuta kumbe ni mdebwedo like the rest of them...lazima akutose

cartura hebu tufafanulie hata kidogo tu hiyo mdebwedo inakuaje kuaje vile!
 
cartura hebu tufafanulie hata kidogo tu hiyo mdebwedo inakuaje kuaje vile!

nemic4u 'k' mdebwedo ni ile ambayo imekuwa used mpaka ikapoteza elasticity yake... kwa jina lingine zinaitwa 'k' mbendembende teh teh teh ( usini-quote lakini)
 
Last edited by a moderator:
Naitaji ushauri wa dhati kutoka kwenu wadau

Nilikuwa na mpenzi niliekuwa nampenda sana sana lakini mwisho wa siku aliniacha na kufunga ndoa narafiki yangu kipenzi.

From there sijawai kuwa kwenye relationship seriously maana sijawai kumpenda mwanaume yeyote tena since then

Miaka imeenda (shukrani kwa JamiiForums na wadau wake ) nimeweza kusahau ile hali kidogo na kuanza maisha upya.

Nikaamua kuingia kwenye mahusiano, sijui tatizo ni mimi Kuna mwanaume kweli ninampenda lakini tunashindwakwenda mbele zaidi maana kiukweli simuamini. Sijawahi kumuhisi kitu basi tu sijiamini na mahusiano nae

Hatujawai kusex nahisi anaweza tukisex anaweza kuniacha tena jamani sijui nifanyeje nahisikumpoteza

Kwani jamani kusex ni lazima jamani? I wish angenielewa imani yangu ila nampenda kweli kweli

Smile dear, dhumni na lengo lako la kutokutoa ndo tatizo..wewe hutaki kutoa maana unadhani utaachwa. Ni kama wewe malengo ya maisha yako yana-revolve kwa huyo mwanaume, kwa mfano akija leo akakuhakikishia asilimia mia kua hataweza kukuacha milele, utafunguka na kumpa mara hata mia. Hii inamaanisha kua watu wataendelea ku-dictate maisha yako, unatoa saa ngapi, kwa nani, kiasi gani..,n.k hatari ni kwamba huwezi kuweka tumaini lako kwa mtu, mwanadam ni mwanadam tu, anaweza kweli akawa hataki kukuacha ila mambo yaliyo juu ya uwezo wake yakatokea akajikuta anavunja ile ahadi..halafu wewe moja kwa moja utadhani umeachwa kwa kua ulitoa.

Mimi nadhani kilakitu kinaanza na wewe, ni bora zaidi kutokutoa kwa lengo la kujitunza tu binafsi, na kujithamini kama binti, hii inamaanisha hata kama akija mwanaume yeyote, lengo lako halibadiliki, litabaki palepale. Na pia ukiamua kutoa basi toa kwa vile roho yako imeamua kufurahia utakachokua unafanya, kwa hiyo yeyote atakaekua anafanya na wewe atakua hajakusababisha wewe kufanya, ni wewe umeamua kwa nafsi yako

Ukianza kuangalia maisha kwa mtazamo huu utaepuka mengi, kwa mfano mambo yasipoenda kama ulivyotarajia basi hautakua na chuki na majuto mengi ya bila sababu. Na hatimae utafurahia maisha yako. Lengo la Mungu kwa wanadam ni kufurahia maisha waliyopewa. : )
 
dada mi naona kuachwa na huyo wa awali imekuathiri kisaikolojia..sasa nakuomba kitu kimoja, kama bado unahitaji kuwa na mahusiano na hatimaje kuwa mke wa mtu, jaribu kuangalia ulikosea wapi hadi yule jamaa wa kwanza alikuacha..inawezekana ulikuwa unamsifia sana kwa marafiki zako au ulikuwa unawaambia kila kitu unachofanya na na mwanaume wako kwa hao rafiki zako, so wenzako wakaona unapokosea, wakarekebisha ukapigwa bao...sasa kwa kuwa umepata mtu unayempenda, na kutokana na maelezo yako hata yeye atakuwa anakupenda, jaribu kumuachia kitu kimtindo maana usije kumboa kwa kumbania muda mrefu kisha ukaponywa tena...pia amini hata wewe Mungu atakujaalia na utapata wa ubani wako na labda ndio huyo...usiwe na mashaka kwani mimi huamini kuwa 'likuepukalo lina kheri na wewe' so muachie Mungu kwani ndio kazi yake...piga moyo konde,sahau yaliyopita jiachie kwa mshikaji apagawe hadi kutangaza ndoa...au unasemaje?
kiukweli angaza tulienda siku nyingi.naogopa akija kuniacha tena si nitakufa mimi jamani?
 
nemic4u 'k' mdebwedo ni ile ambayo imekuwa used mpaka ikapoteza elasticity yake... kwa jina lingine zinaitwa 'k' mbendembende teh teh teh ( usini-quote lakini)

Sasa Catrura mbona mie siielewi jamani inamaana K ikitumika sana ndio inakuwa mdebwedo ? Hawa machangudoa si wangekuwa hawapati maclient cause wao ni zaidi ya used ?
 
sasa kama huna shida ya sex na mwenzio ana shida ya sex huoni kwamba hapo ni pagumu sana,ila tukio la mwanzoni limekufanya mtumwa jaribu kulisahau kwani ukijaachana na huyo hakuna utayewezana naye kwani tayari hisia zako haziwaamini wanaume.
 
Kwa hiyo unafikiri ukimnyima mtu chakula chako hatapata sehemu nyingine acha kujidanganya
ongea nae tu na kadri unavyovuta mda wa kuliwa ndio unamfanya hata yeye akuchoke na mwishowe
itakua kimeo zaidi.
labda kama unampenda mbwa wako utampa chakula asije kuala chakula cha sumu jalalani,jitahidi kumweleza
wakati mwingine vitu vya dunianin ni vyakupita tu kwa hiyo jaribu kuwa mkweli kama huyo jamaa ni player
atapiga mzigo na kupotea hata baada ya miaaka kumi ijayo sema na wewe utakua ushachuja kwa hiyo hatakua na
hamu tena na chakula chako anyway
 
kutaka kusex inatokana na tamaa za mwili! inafikia kipindi kweli sisi wanaume kama mwanamke unampenda kweli lakini ukimwomba mzigo anakunyima na ikawa hivyo kwa mda mrefu huwa tunaanza kukata tamaa nakujua kuwa hatupendwi! nadhani ndo kinachomtokea bwana wako! chamsingi jaribu kutafuta namna ya kumwonyesha ya kuwa unampenda kweli na ikiwezekana zaidi ya anavyokupena wewe! Pia unaweza ukakutana naye faragha sehemu isiyo na usumbufu (Onyo:uhakikishe ya kuwa ni msitaarabu asiye na dalili za kuweza kukubaka) ikiwezekana umfanyie mautundu na romance/mahaba ya hali ya juu hadi atoke kwenye excited state kuja kwenye ground state na ili hiyo siku isitoke kwenye ubongo wake! jitahidi sana usimpe tunda siku hiyo, unaweza kumpa siku nyingine labda umpe aliguse tu! Naturally in love issues women are stonger than men, PRACTISE TO USE YOUR STRENGTH!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom