Roxea
Senior Member
- May 18, 2012
- 182
- 48
Nlikua na mahusiano na binti mmoja ivi wa kimasai tangu 2008 mpaka mwaka huu kwenye mwezi april hapo ndipo mambo yakaanza kwenda hovyo,mi nlikua kazini ye kipindi icho ndo alikua amemaliza kidato cha 6,kikubwa alichokua ana claim nikua ananihitaji sana coz ndo alikua ametoka shule nami pia sikufanya ajizi nikatuma nauli ili akuje kule nlikua but ikarudishwa naambiwa eti hawezi kuondoka home kwao ila me ndo niende,nikajaribu kumuelezea mazingira ya kazi jinsi yalivo magumu kwa mimi kutoka hata ka ni 6hrs hata simu pale job hazikua zinaruhusiwa mi nlikua nafanya kuiba tu kwaajili yake,akaonyesha ka ameelewa flani ivi,after two weeks akantext kua ni vitu viwili anione au achukuliwe na mwingne,nikamjibu kama kashampata wa kumchukua nibora asinipe izo option akati jibu kashapata,nikawa kimya xana kutokana na ubisy job ikapita almost a month bila kelele tena na sikua napiga simu ila text zilikua ndo zinaflow zaidi kila nlipopata nafasi iyo,nikaja kustukia jamaa ivi 2ko nae job alikua anatokea mkoa jirani akasema amemuona ikabidi ni mcheki hewa yani vile anaongea ilikua kama kaisha chukuliwa na kuniona mimi wa nini akakubali yuko mkoa huo kweli ila hana mda wa kuja na hata mie nikienda nisimtafute coz hatokua tiari kuniona,niliishiwa pozi nikahisi kama amerogwa au kapatwa na pepo gani,i nikajikaza sana hakuna alojua chochote pale oficni basi nikajiweka busy nika msahau,wiki mbili zilizopita nikapewa likizi nikawepo tu home juzi apa nikapokea text yake anasema hua ananikumbuka sana na hajaacha kunipenda hata tone ila ndo hawezi kua na mimi tena,nikamuuliza kwani kipingamizi ni ni anasema basi tu.kiukweli huyu bint mi nnampenda kuliko kawaida hata iweje ila anakua ivo na mi simuelewi,wanajamvi mnisaidie huyu anataka nini/dawa yake nini/mimi niweje ili ajikute kwangu/maoni yako ndo mpango mzima buddies