Ninajambo mwenzenu usisite kudondosha mchango wako.

Tatizo ulijifanya baunsa wa hisia zako kwake ndo maana ukampoteza.Ila jitahidi kuandika vizuri kha unatiririkaje sijui.
 
Hapo hakuna mapenzi mkuu, jiweke pembeni utapata mwingine!
 
wote watoto tu
mtoa mada na mtolewa mada wote nginjanginja tu.

Umasai wake umekujaje hapa?
Simu hupigi mwezi, eti sms zinaflow?
 
wote watoto tu
mtoa mada na mtolewa mada wote nginjanginja tu.

Umasai wake umekujaje hapa?
Simu hupigi mwezi, eti sms zinaflow?

ofcourse tuna weza kua watoto kwako kama tu ulianza kuona jua back in 1960s,
niliona kurahisisha description ya mtolewa mada niweke uhalisia(origin)yake huenda ingesaidia sikua na intention yeyote mbaya coz hata mie pia ni mmasai an am proud of it...........come on kongosho labda me sina experience xana na girlsh stuff ivi kumbe ni lazima kwenye mahusiano mwanaume ndo awe anapiga simu?
 
Dogo uyo si ameshakwambia kuwa ana mtu mwingine? sasa kwa nini 'msiachane' au wote bado watoto?

kama mnapendana kweli basi, mtajitahidi muwasiliane na muonane kila inapobidi. Huo mkoa mwingine I take it ana mtu sasa hapo bado tu wamtaka? Think
 
coz ukiendelea kufatilia atakuopotezea muda wako coz anaonekana amepata mwingine
 
Mpango! Mzma kaz... Nakupongeza kwa kujal kaz mzazz,,, majira yanabadlka utampata zaid ya uyo! Dat relax homi! "But follow wat ua hart disire..."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom