Ninahamu na mwanamke lakini si mke wangu

ishobo

Member
Jan 3, 2014
16
10
Ndugu wana MMU kiukweli nashindwa kujielewa,yaani simtamani mke wangu kabisaaaaa. Yaani tunaweza maliza hata wiki mbili bila kugusana japo nyege ninazo. Wenye uzoefu nisaidieni.
 
Tokeni wkend moja mkajadili tatizo lenu tafuteni mahali pageni mbali na nyumbani kwenu pazuri patulivu pateni kitu roo inapenda wine bia kiroba whatever. Zimeni simu zenu kabisa mkumbushane simu ya kwanza mlipoonana ya yaliyofuata baadae ya hapo pigeni story nyingi kadri muwezavyo

Sikushauri kabisa uende nje si kuzuri na Kuna madhara mengi yakiwemo maradhi, vumilia ni kipindi tu kikipita salama utamuona mkeo ni mtamu kushinda halua
NB: hii inatokea kwako wanandoa wengi
 
kutoka nje ndo kutakufanya umtamani mkeo?
kama kuna shida kaa nae mzungumze myamalize na ndoa utaiona nzuri tu ukitoka nje humkomoi zaidi unamletea wadudu tu
 
mnakaa mwezi hamjagegedana???hiyo hatar mkafanyiwe maombi aiseee. na ndoa yenu ina mda gan mkuu?
 
Acha wenge aisee, huyo mkeo kaeni chini mjue tatizo nini, b'se ni haki yake anatakiwa kupewa. Point ya kutoka nje ww cause hauna hamu nae, what if other side atoke nje cause haumpi haki yaki. Think twice bro, unacreate booM.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ndugu wana MMU kiukweli nashindwa kujielewa,yaani simtamani mke wangu kabisaaaaa. Yaani tunaweza maliza hata wiki mbili bila kugusana japo nyege ninazo. Wenye uzoefu nisaidieni.

Nenda kaombewe;
 
kijana hata maini yawe matamu vp huwez yala kila cku!!! jifunze kutafuta maharage ila heshima iwepo!!
 
ndugu wana mmu kiukweli nashindwa kujielewa,yaani simtamani mke wangu kabisaaaaa. Yaani tunaweza maliza hata wiki mbili bila kugusana japo nyege ninazo. Wenye uzoefu nisaidieni.
mwambie mkee wako aje kwangu na wewe uwende kwa machangu then baada ya wiki mbili utakuwa na hamu nae
 
Ndugu wana MMU kiukweli nashindwa kujielewa,yaani simtamani mke wangu kabisaaaaa. Yaani tunaweza maliza hata wiki mbili bila kugusana japo nyege ninazo. Wenye uzoefu nisaidieni.

Yawezekana unaubize uliopitiliza,
unamawazo mengi yanayopelekea mda wote una stress
Kuna malengo ambayo umejiwekea lakini kwa kadri mda unavyosonga mbele waona hayatimii

Mambo hayo hapo juu yaweza kukukosesha hamu ya kufanya tendo la ndoa na mkeo
 
inawezekena stress za kutafuta pesa hizo, au kuna jambo kuhusu yeye limekukera hebu jifanyie kauchunguzi mwenyewe.
 
Yawezekana yale mambo yaliyokuwa yanachangamsha mahusiano yenu wakati wachumba mmeyaacha kwa sababu mshakuwa mume na mke. Na hilo ndo kosa kubwa linalofanywa na wanandoa wengi. Kufunga ndoa kwa kiasi kikubwa ni kuhalalisha mahusiano ya uchumba wenu, lakini uchumba ni kwa maisha yako yote. Hebu jaribuni kukaa chini na mkeo mjadili kuhusu hili na mrudishe mapenzi ya uchumba uone kama utawaza kuchoropoka nje!
 
yawezekana unatarajia, mambo makubwa yalio nje ya uwezo wa mkeo wakat hayo mambo unayaona kwa wanawake wengne ndio maana unataman nje
 
Back
Top Bottom