Ninadhurumika nafsi, nami nina moyo jamani.

Jamani weye kaka ngoja nkwambe kitu, tatizo nilionalo kwako you are very serious and highly academic centralized than being social, nafikir ushauri wa boss na Kongosho ni mzuri kwa kuanzia. Ila pia ngoja nikupe hii hapa:-

usiende kwa mwanamke ukiwa na wazo la kukubaliwa neva, wala usiwe serious. a one night call ya kusema goodnight yatosha kukufanya kesho yake umtakie asubuhi na mchana mwema. and from there utaendelea that way hadi ufikie utakapo.

uzuri mabint wa siku hizi watacare vitu artificial zaid na wewe nenda hivyo hivyo kiartificial usianze sijui leo twende dinner lemon tree, lunch twende steers utachemsha. Hivi unajua power of flirting? kwani weye upewapo namba ya simu kazi yake ni nini? anza kuflirt naye ndio wanavyopenda hawa ma sista doo. wewe andika sms hata mia kwa siku siku moja tu ya pili utaona lazima kingi aingie. but ukienda na formula za elasticity ya steel, na angle of deflection of the building imekula kwako. kama hujui nipm nikuandikie sms wewe uwe unazifowad tu.
 
Last edited by a moderator:
Sijui niseme ni nyota, au sijui ni nini.
Mim ni kijana niliyebarikiwa yafuatayo,
1.Handsome na mtanashati
2.Mpendwa
3.Talented in music instruments (giter na kinanda)
4.Talented in books (nimesoma special school olev na advance na kumalizia udsm engineering)
5. Nimebahatika kazi nzuri (yenye kipato kizuri na usafiri)

Sasa nani kakuambia we ni handsome? hayo mapointi apo juu kama ndio unayasemaga saa unamtokea huyo mdada lazima akutose tuuuuuuuuuuu................hayanaga nafasi kwenye maswala ya mapenzi hayo makitu....sana sana ni added advantage tu!!!!!!!
 
lakini@ld nafikir yeye kasema kuwa ni handsome just kuonyesha kuwa anayo adedi advantage but sidhani kama ndiyo gia anayoingilia bana. manake hata mlimani hupandi kwa gia namba 5.
 
  • Thanks
Reactions: LD
lakini@ld nafikir yeye kasema kuwa ni handsome just kuonyesha kuwa anayo adedi advantage but sidhani kama ndiyo gia anayoingilia bana. manake hata mlimani hupandi kwa gia namba 5.

Yeah, ofcourse huwa sianzi kwa kujisifia, kama nilivyosema huwa naanza na kumzoea kwanza, labda kosa ambalo nimejifunza ni kumtoa msichana out wakati wa kutokea...

Naendelea kujifunza kutoka kwenye michango yenu...
 
Nawe siku hizi umeokoka?

Back to the point, huwezi jua huenda wanaokukataa hawakufai; umesema wewe ni mpendwa maana yake si unapendwa au?

Mshirikishe Mungu kwenye issue zako na si sisi ambao hatukujui wala hao wadada hatuwajui! Huenda pia ni family curse kama aliyosema Boss, lkn pia yaweza kuwa Baraka, only God knows! Huna machaguo zaidi ya kumtegemea Yeye!

Thanks kwa mchango wako, tusaidiene kuombeana.
 
Yeah, ofcourse huwa sianzi kwa kujisifia, kama nilivyosema huwa naanza na kumzoea kwanza, labda kosa ambalo nimejifunza ni kumtoa msichana out wakati wa kutokea...

Naendelea kujifunza kutoka kwenye michango yenu...

no kumtoa out siyo makosa ila kosa ni pale ambapo mtu anayetolewa anapoona kama ni haki yake tu. tofauti na ambavyo wewe unaiona kama njia ya kumsogeza karibu.

to me anza na flirting yaani izi zina nguvu sana, na unapoanza usionyeshe hisia za wazi kwamba unataka future naye iwe ni staili ya mapenzi ya kwenye simu tu mpaka akolee na wewe upime maji uone kama wayaweza kuogelea manake ukianza na gia za kuflirt kwa maana ya kuvuta ndani waweza kudondokea kwa kicheche ukajutia baadae.
 
Yaani wewe ni handsome harafu una vijisenti bado wanakukataa haha pole..jikite kwenye maombi
Hebu weka picha yako tukupe msaada wa mawazo
 
Ha ha ha kweli maisha yapo tofaut, nina jamaa analalamika daily ofisin wasichana na wanamsumbua sana ofisin wakat tunaanza kazi tukajua anajisifia, akadai hata wakat yupo chuon ni hivyo hivyo but yeye aelewi ni sababu gan tukawa tunacheka sana, but baada ya muda tukaja kuthibitisha jamaa anayolalamika ni kweli baada ya muda wadada wa job nao wakaanza kuonyesha interest na kuna siku alikuja kwenye sherehe home, eeh dada yangu anajifanyaga yuko exposed na anachagua kweli kweli naona akaanza kuniulizia kesho, hivi yule jamaa yukoje, atakuja lini tena, wakati kwenye sherehe hawakuongea chochote so nikashangaa sana. Kwamba mchawi nini, lakini sikumwambia jamaa kwamba sister amemuulizia.

Lakini sasa huyo jamaa mwenyewe yupo tofauti ye anavyopenda hela sijawai kuona, yaan ana terrios ya blue tunaiita container maana ana bishara zake unaikuta imebeba mizigo ya stationary zake, kiasi hata bosi anacheka sana, kiasi hata tukikuta gari yake imepak sehem labda savanah au wapi tunajua jamaa yupo hapa but hajaja kuburudika but kuna dili kaja kuongea na mtu, yaani mda wote yeye ni pesa tu, sasa sijui ndo sababu ya wachumba kuzimika, na tatizo hawez kukaa na sister du eti apoteze muda kuongelea mapenzi labda kama anataka akamsaidie dili sehemu au amuunganishe na tenda,

Na yupo sio smart kivile wala nini? But siku akikutana na mdada tu lazima huyo dada amuulizie kesho, wadau wanadai terrios ya blue ina uchawi ndo maana anasumbuliwa hadi
HR officer mama mmoja amegundua anadai watoto wakija field wakike criss hatampelekea hata mmoja maana at the end watoto wataanza kuleta mapenzi kwa mpenda hela,

Inabid uni pm ur namba labda nimwambie akupe mautundu aliyofanya maana at 25yrs anasumbuliwa hadi na wadada waliomzid umri. Tena wengine ni wife materials kabisa but jamaa hayupo interested hadi kuna malengo yake yatimie kwanza.
 
jaribu kufuata wanawake/wasichana wenye status yako, kuna bwana mdogo mmoja alikuwa ana malalamiko kama yako lakini wanawake aliokuwa anawapenda na kujaribu kuwatongoza walikuwa tofauti sana kielimu na kifedha.
 
Watu wa status yangu ndo hao ninao wazungumzia, unataka kumaanisha kwamba wasichana ninao watongoza wana fedha na elimu kubwaa..
 
@excelllent mdogo wangu wa moyoni, swali gani hili?........................................BTW mzima wewe? miss you so much ma lito bro mpe hi Mbimbinho.
gfsonwin,miss u much my sis,nilikuwa nataka kufahamu tu..........salamu zishafika,I love u much sis
 
Last edited by a moderator:
kama unakosa demu wakati huu, andika maumivu huko baadae, mbona sasa hivi mademu ni warahisi sana?? kha! hebu jiweke kiume acha mambo ya kitoto halafu try again! kha!
 
no kumtoa out siyo makosa ila kosa ni pale ambapo mtu anayetolewa anapoona kama ni haki yake tu. tofauti na ambavyo wewe unaiona kama njia ya kumsogeza karibu.

to me anza na flirting yaani izi zina nguvu sana, na unapoanza usionyeshe hisia za wazi kwamba unataka future naye iwe ni staili ya mapenzi ya kwenye simu tu mpaka akolee na wewe upime maji uone kama wayaweza kuogelea manake ukianza na gia za kuflirt kwa maana ya kuvuta ndani waweza kudondokea kwa kicheche ukajutia baadae.
my dada aisifuye mvua, ................! kha! hilo nalo neno lakini!
 
una rafiki wa kike?? rafiki tu not mpenzi namaanisha rafiki "FRIEND" ambaye unaweza kukaa naye more than 30min kuongea just stories.....
kama unaye then huwezi kushindwa kutongoza but kama huna jifunze kuwa na marafiki wa kike then utaelewa jinsi ya kumsoma mwanamke na unaweza kumuanzaje ili u win her heart or love if i say so....
 
labda waziza wako walikuwa na dhambi kubwa sana

mauaji hivi
au dhuluma hivi
kwa hiyo laana yao inakuletea mikosi
watu wema wanakukimbia
utajikuta unakubaliwa na vicheche wa mjini

nenda kaoge maji ya baharini saa sita kamili usiku pale jirani na viwanja vya gymkhana utapata hadi wazungu
 
Back
Top Bottom