nipo kamanda mkoloni tu kidogo amebana kweli kweli siku mbili hizi.
Maneno yako hayana mshiko, labda hujui maana ya neno Kabaila.tena lafaa sana, maana inji hii ukiwa kabaila una uhakika wa ubunge na hata uwaziri kwa tiketi ya CCM na chama kinakuchakachulia kura
Huyo mkoloni wako atakuwa ni tineja
kuna jamaaa anaitwa bwabwa !! hutaki kumuona?Kutokana na michango yao hapa JF, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso:
1. Asprin
2. FirstLady
3. PakaJimmy
4. Mwanakijiji
5. Pasco
6. Acid
7. Nyaningabu
8. Nyamayao
9. Fidel
10. Roya
11. Rose80
12. The Finest
13. Rutashubanyuma
14. Gender sensitive (Regia)
15. Mwanajamii one
16. Gaijin
Inshallah Mungu akipenda!
Wooow!Kutokana na michango yao hapa JF, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso:
1. Asprin
2. FirstLady
3. PakaJimmy
4. Mwanakijiji
5. Pasco
6. Acid
7. Nyaningabu
8. Nyamayao
9. Fidel
10. Roya
11. Rose80
12. The Finest
13. Rutashubanyuma
14. Gender sensitive (Regia)
15. Mwanajamii one
16. Gaijin
Inshallah Mungu akipenda!
ivuga wewe unataka kuonana na bwabwa nini?
Wooow!
Mkuu, ni habari njema hii!
Wanasema mtu aliyefanikiwa zaidi maishani ni yule aliyeweza kutengeneza marafiki wengi zaidi!...Inafurahisha kuwa unatambua urafiki kati yetu, hatua ndogo ya mwisho ni kuonana tu!
Kwa mimi, ukifanikiwa kumpata Acid umenipata...
Karibu!
Mimi je?Kutokana na michango yao hapa JF, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso:
1. Asprin
2. FirstLady
3. PakaJimmy
4. Mwanakijiji
5. Pasco
6. Acid
7. Nyaningabu
8. Nyamayao
9. Fidel
10. Roya
11. Rose80
12. The Finest
13. Rutashubanyuma
14. Gender sensitive (Regia)
15. Mwanajamii one
16. Gaijin
Inshallah Mungu akipenda!
Si unajua kuna kipindi walinipiga ban, nikaja kivyengine!Sikuwa najua kuwa una ID mbili kaka............... orait orait
Heri yenu mnaotakiwa kuonwa uso kwa uso
Thanks Deodat,
ukifuatilia sana utagundua ni rahis sana kukutana na ma-kazin,
Leo NN alikaribisha supu, na kila siku kuna mialiko inaendelea... Baba G leo anaandaa gathering ya Kumpongeza GS just stay posted na utapata PM
One "AGAPE" love