Nina shauku ya kukutana na watu hawa face-to-face!

Kutokana na michango yao hapa JF, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso:

1. Asprin
2. FirstLady
3. PakaJimmy
4. Mwanakijiji
5. Pasco
6. Acid
7. Nyaningabu
8. Nyamayao
9. Fidel
10. Roya
11. Rose80
12. The Finest
13. Rutashubanyuma
14. Gender sensitive (Regia)
15. Mwanajamii one
16. Gaijin

Inshallah Mungu akipenda!

Mi nkiwaona hao wapink hapo basi ............ siku imekamilika
 
Unaweza kunipata ukipenda.Tupo pamoja

Asante mbunge wangu, ndugu zangu wa lumemo, kibaoni, v/60, lipangalala, kisawasawa, idete, kiberege n.k. walikuwa wananipa sana michapo yako, inshalah, siku nikitua bongo tu nitakutafuta, nimeamua kurudi nikalime mpunga kule kwetu kuliko kuendelea na maisha ya kubeba box kisa ulaya! Hongera na pole sana kwa mchakato mzima, Mungu yuko pamoja nawe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom