Nina shauku ya kukutana na watu hawa face-to-face!

ahh thax jaman
karibu saaaaaana ata mi pia nina hamu ya kukuona
si tupo tu ebu wachek st roy,finest,asprn,teamo ,mwanajamiii watakupa mwongozo wa makutano!!!
jana tulikuwa pamoja na nyama mbuzi...ebu wachek ao watu watakupa raman na mama bg pia utamwona laiv!!!!!!
 
tena lafaa sana, maana inji hii ukiwa kabaila una uhakika wa ubunge na hata uwaziri kwa tiketi ya CCM na chama kinakuchakachulia kura
Maneno yako hayana mshiko, labda hujui maana ya neno Kabaila.
 
Kutokana na michango yao hapa JF, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso:

1. Asprin
2. FirstLady
3. PakaJimmy
4. Mwanakijiji
5. Pasco
6. Acid
7. Nyaningabu
8. Nyamayao
9. Fidel
10. Roya
11. Rose80
12. The Finest
13. Rutashubanyuma
14. Gender sensitive (Regia)
15. Mwanajamii one
16. Gaijin

Inshallah Mungu akipenda!
kuna jamaaa anaitwa bwabwa !! hutaki kumuona?
 
Kutokana na michango yao hapa JF, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso:

1. Asprin
2. FirstLady
3. PakaJimmy
4. Mwanakijiji
5. Pasco
6. Acid
7. Nyaningabu
8. Nyamayao
9. Fidel
10. Roya
11. Rose80
12. The Finest
13. Rutashubanyuma
14. Gender sensitive (Regia)
15. Mwanajamii one
16. Gaijin

Inshallah Mungu akipenda!
Wooow!
Mkuu, ni habari njema hii!
Wanasema mtu aliyefanikiwa zaidi maishani ni yule aliyeweza kutengeneza marafiki wengi zaidi!...Inafurahisha kuwa unatambua urafiki kati yetu, hatua ndogo ya mwisho ni kuonana tu!
Kwa mimi, ukifanikiwa kumpata Acid umenipata...
Karibu!
 
karibu I.S.C mwanangu!

ukiwa ndani ya chama,kuna zile da-to-day programme za vikao jitahidi sana uwasiliane na mimi kwa pm
 
Wooow!
Mkuu, ni habari njema hii!
Wanasema mtu aliyefanikiwa zaidi maishani ni yule aliyeweza kutengeneza marafiki wengi zaidi!...Inafurahisha kuwa unatambua urafiki kati yetu, hatua ndogo ya mwisho ni kuonana tu!
Kwa mimi, ukifanikiwa kumpata Acid umenipata...
Karibu!

Sikuwa najua kuwa una ID mbili kaka............... orait orait
 
Kutokana na michango yao hapa JF, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso:

1. Asprin
2. FirstLady
3. PakaJimmy
4. Mwanakijiji
5. Pasco
6. Acid
7. Nyaningabu
8. Nyamayao
9. Fidel
10. Roya
11. Rose80
12. The Finest
13. Rutashubanyuma
14. Gender sensitive (Regia)
15. Mwanajamii one
16. Gaijin

Inshallah Mungu akipenda!
Mimi je?
 
Na mama big je?

aKHA! Mama big namuogopa asije akanichakachua, nimesisitiza ni Agape love tu, anyway alitangaza chup* yake inanukia sana kiasi kwamba kuna mtu anaing'ang'ani, labda mie anipatie hiyo tu! kwi! kwi! kwi!
 
Thanks Deodat,

ukifuatilia sana utagundua ni rahis sana kukutana na ma-kazin,

Leo NN alikaribisha supu, na kila siku kuna mialiko inaendelea... Baba G leo anaandaa gathering ya Kumpongeza GS just stay posted na utapata PM

One "AGAPE" love

Thanks mkuu kwa sasa niko mbali kidogo (nakula box huku ugenini th! th!) lakini punde nitakuja vacation home, lazima nitafute wapwaz!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom