Nina PhD natafuta kazi

Omba kazi UN kama Consultant....hata zile za muda mfupi mfupi.....zitakutoa with time...then utaingia kama permanent staff wa UN......ila usichoke ku-apply on line......
 
Habari zenu ndugu zanguni,

Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.

Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?

MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.

kazi ni kazi as long as your getting paid, follow this link and a start making money...... Http://internetduty.com/?id=gkatt
 
aiseee hii ni babkubwa.salamu hizi ziwafikie ma-john kisomo wote wanaodhani kupoteza miaka mingi mfululizo shule ndio mafanikio.PHD holder unatafuta kazi?!!i thought u guys were the most hunted candidates by employers.damn you "EDUCATION".
ajira ni ngumu sana kiukweli
 
Habari zenu ndugu zanguni,

Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.

Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?

MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.

Fanya hivi: ficha chet cha PhD, omba kazi halafu utapata. Ukishakuwa mzoefu kazini na ukawa na uhakika kuwa utendaji wako wa kazi watakuwa wameupenda, wape cheti cha PhD ila usiwadai maslahi zaidi, kama ni vipi watakufikiria wao wenyewe. Huwezi kupoteza kazi
 
shukrani mkuu
 
Habari zenu ndugu zanguni,

Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.

Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?

MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.

Pole kwa msoto na nikutie moyo tu kwamba jaribu hizi taasisi za utafiti kama ifakara na myingine. You can be a boss there. Kwani una miaka ngapi?
 
Habari zenu ndugu zanguni,

Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.

Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?

MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.

Pole sana mkuu,
Kwa jinsi Tanzania iilivyo na matatizo kwa level yako ya elimu nadhanii unaeza andika research proposal na institution mbalimbali zikaku-fund na ukafanikiwa kufanya hiyo research ambayo kiukweli kufanikishwa kwa research hiyo ni pesa tupu.

Nikupe mfano mdogo wa ambao kiukweli ukiangalia vema ni tatizo ambalo ukiandikia andiko lla utafiti unaeza toka.

Sera za usimamizi na ulipaji fedha serikalini ni wa kizamani sana, ukiiweza kufikiiria namna nzuri (may be ujnge hoja kwa kubainisha tatizo then ukaainisha jawabu la tatizo basi kwa umetoka jamaa yangu!

hebu jaribu kufanya tafiti na utafute suluhu ya namna ya taasisi za serikali namna ambavyo zinaweza kwa profitable zaidi, mfano TTCL kuestablish Wifi accessibility katika sehemu za public, hosp, vyuo mbalmbali, taasisi kwenye sehemu za starhe, usafiri etc ambazo mwisho wa siku mtu atapaswa kulipia kwa mfumo ambao utakuwa umeonekana ni bora!

katika research zak jjaribu sana kuangalia namna bora ambayo suluhu yake itakuwa based kwenye mifumo ya ICT!
 
napenda sana nijiajiri lakini tatizo ni mtaji mkuu
Mbaya zaidi una PhD, manake hata kujiajiri kwenyewe inabidi kuwe kwa ki-PhD PhD! Tuache masihara, kwa nchi kama Tanzania mtu ukachukue ubao pale Mchikichini halafu ukae mwenyewe; trust me, mungu atakuporomoshea midhambi hadi uipate!

Hapo bhana, solution ni kutafuta teaching posts kwenye higher institutions! Usiogope hizo mbwembwe kwamba GPA 3.8 kwenye undergraduate studies...nakubali, hiyo requirement ni muhimu lakini wakati mwingine wanaiweka ili kupunguza application za watafuta kazi! Nakumbuka kuna wakati serikali ilitangaza nafasi za kazi Financial Economist, requirement 10 years experience! Mtu wangu mmoja akaogopa kuomba coz' ndo kwanza alikuwa ametoka kuchukua MBA with 0 years experience. Nikamwambia just apply it, usiogope hiyo ten years! Ali-apply na akapata! So, zinapotoka teaching posts(lectures), forget what u got in undergraduate; be confident kwamba u're PhD Holder from German! Hata kama ndie mwajiri, siwezi kumchukua mwenye Masters kwavile tu alikuwa na 4.2 undergraduate nikamuacha mweney PhD kv tu alipata GPA 3.4 undergraduate.
 
PHD kabisa afu huna kazi!! Yaaan dah hapana,, mmmmmh! Hatujafika huku kwa Tanzania kama hutuchori tafuta kazi zipi nyingi sana kwa grade yako.

yaan CBE,IFM, TIA kuna ma lecture wana videgree afu wakuu wa vyuo hivyo wanawatafuta watu kama wewe afu useme huna kazi, uko locked au vyeti umevipatia msimbazi!??

Loading,,,,,,,,,,,,

ni kweli mkuu PHD sio mchezo,uwezi kuniconvice kuwa unakosa kazi na PHD wakati kuna wahadhiri wana masters na wanafundisha vyuo vikuu tena masters degree aisee embu acha kuwakatisha watu tamaa au hiyo phd ni zile za akina NCHIMBI na wenzake eeeeeh?
 
Nimesikitika sana aisee, hadi una PhD huoni cha kufanya, elimu hii itakuwa ya kipumbavu sana, tunafikiria kuajiliwa tu na kudhani mtaji ni pesa tu, yapo mambo mengi unaweza kufanya hata bila mtaji, tengeneza project paper na zitumie kutafuta finance, always good idea will be bought.
 
Hebu mwambie huyo jamaa mtaji so pesa mtaji ni idea, aache kulala ohoo itakula kwako jombaaa
 
Omba kazi UN kama Consultant....hata zile za muda mfupi mfupi.....zitakutoa with time...then utaingia kama permanent staff wa UN......ila usichoke ku-apply on line......

Mkuu ushauri wako ni mzuri lakini sina uhakika kama huyu mtu ana sifa hizi au anatania hebu pitia baadhi ya post zake.

https://www.jamiiforums.com/nafasi-...-kazii-sababu-ya-kuwa-msafi-sana-ofisini.html

https://www.jamiiforums.com/mahusia...6604-kumbe-baba-naye-huwa-anamcheat-mama.html

https://www.jamiiforums.com/mahusia...hataki-kunyoa-nywele-zake-sehemu-za-siri.html
 
Huyu jamaa ni muongoooo

Acheni kupoteza muda wenu kutoa ushauri to a fiction story

Nendeni kwenye profile yake muangalie threads zake mta'connect dots wenyewe
 
Nenda kafanye ujasiria mali bhana, tena we msomi kabisa unalia lia hapa?Unataka mtaji wa shilingi ngapi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Habari zenu ndugu zanguni,

Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.

Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?

MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.
Kaka mbona mataasisi ya kijeruman bongo yapo kibwena umekosa hata huko maana mi washkaj waliosoma Ujerumani wapo GTZ,Goeth Institute etc washtue DAAD wakuunganishe kwenye projects na NGO za akina Rudi Voller au Kijeruman hakipandi?maana hilo laweza kuwa tatizo
 
aiseee hii ni babkubwa.salamu hizi ziwafikie ma-john kisomo wote wanaodhani kupoteza miaka mingi mfululizo shule ndio mafanikio.PHD holder unatafuta kazi?!!i thought u guys were the most hunted candidates by employers.damn you "EDUCATION".
Huyu jamaa ni muongo tu, ni chuo gani Tanzania kilichojitosheleza lecturers hadi wamkatae mtu mwenye PHD!!???
Hata part time!!, haiingii akilini.
 
Back
Top Bottom