PHD kabisa afu huna kazi!! Yaaan dah hapana,, mmmmmh! Hatujafika huku kwa Tanzania kama hutuchori tafuta kazi zipi nyingi sana kwa grade yako.
yaan CBE,IFM, TIA kuna ma lecture wana videgree afu wakuu wa vyuo hivyo wanawatafuta watu kama wewe afu useme huna kazi, uko locked au vyeti umevipatia msimbazi!??
Loading,,,,,,,,,,,,
JF sometimes raha sana, then akimaliza hiyo anaanza round nyingine ya BA au?Kama vp tafuta sponsorship ingine ugonge PhD ya pili/
Habari zenu ndugu zanguni,
Nimesoma B.A ya economics UD, kwa kuwa mzee wangu alikuwa ana kauwezo mdogo akanishauri nisome masters. Nilipokuwa nasoma Masters niliona tangazo la PhD scholarship ya DAAD-Germany, nikaomba kwa bahati nzuri nikapata hivyo baada ya kumaliza masters nikaenda kusoma Hamburg Ujerumani. Hivi sasa ninapoongea nina PhD ya business administration management na kwa bahati mbaya sana hamna tangazo la kazi wanalotaka mtu mwenye PhD asiye na experience hata kidogo, nimechanganyikiwa mpaka najuta kusoma.
Huu ni mwaka wa pili natafuta ajira, niliomaliza nao degree ya kwanza hivi sasa wana maisha mazuri namimi hali yangu haieleweki. Na wazazi uwezo wao kiuchumi umepungua sana hiyvo hawawezi kunipa hata mtaji nikafanye biashara, maisha haya jamani, sijui ninamfundisha nini mdogo wako anayenifata?
MKINIPA MAWAZO YA KUJENGA NTAWASHUKURU ZAIDI.

Hapana. Yaani akimaliza hiyo aendelee na ya 3, 4 ... huyu inaonekana shule anaiwezea.JF sometimes raha sana, then akimaliza hiyo anaanza round nyingine ya BA au?
Nijuavyo mimi PhD ni elimu ya juu sana, nasikitika kuoana mtu mwenye PhD anakuja kulia humu eti sina kazi, tena ni mtu aliyesoma utawala na mambo ya biashara, huku ni kuwakatisha tamaa wanafunzi wetu wa level za chini. Inakuwaje mtu na PhD yako ushindwe kutawala mazingira hasa katika kipindi hiki cha mpito? Ulisoma ili uajiliwe? tena PhD?
Ulivyokuwa unasoma PhD lazima ulitengeneza network na watu fulani ambao kwa sasa unaweza kushaurina nao nini cha kufanya na wapi pa kuanzia. Wewe unakuja kulia humu? Kwani lazima uajiliwe Tanzania? Lazima uajiliwe na serikali? mtaji lazima utoke kwa wazazi? Shule yako inakusaidiaje kama unawaza kama mimi wa darasa la 7? I am so disappointed. Ni bora ulipata GPA below 3.8 maana huna cha kuwapa wanafunzi zaidi ya kile kilichoandikwa kwenye vitabu ulivyopata kusoma tu.
Hebu ni-PM nikupe mawazo na ufunguke, tafuta opportunities man!!! PhD ya Bussiness management and Administration, halafu unashindwa kutafuta fulsa? Kweli ulisoma ili ufaulu. Please nitumie thesis yako
vyuo vingi ili uajiriwe ni lazima uwe na GPA ya 3.8 kwenye degree ya kwanza na mimi nilikuwa na 3.4
Sio kweli sababun kuna watu tunawajua degree ya kwanza walikuwa na GPA za kawaida wakaenda kusoma masters na saiv wanafundisha..ni channel tu.im sure utapata kazi;ila tujifunze kwamba experience ya kazi nayo matters...Nakutia moyo utafanikiwa wala usijilaumu kabisaa,kama vipi peleka CV zako Tumaini nUniversity ya Dar(hata uombe part time utapata),KIU,Univ of Bagamoyo etc etc