Nina ndoto zakufundisha chuo kikuu,naombeni msaada.

Nkaka

Senior Member
Apr 7, 2014
108
16
Degree ya kwanza nina lowersecond GPA ya 3.4Honours.Nimeamua kuchkua postgraduate dip kwa lengo lakutoka na first class nakuchkua M.A,Je. nitafanikiwa
 
TCU guideline to be a University Lecturer you need to have a GPA of 3.5 and above, for UDSM, SUA and ARU you need to have a GPA of 3.8 and above for undergraduate. To be Ana Assistant Lecturer you need to have a GPA of 4.0 and above at masters level at UDSM. Postgraduate qualification does not take away your undergrad performance. Neither it won't give you a qualification to be employed as a TA at UDSM possibly the same to SUA and ARU. May be you should seek for vacant in NACTE colleges like CBE, IFM, TIA, DIT, SW, etc.
 
Kimsingi sheria inamtaka muhadhiri wa chuo kikuu / chuo cha elimu ya juu kuwa na GPA ambayo si chini ya 3.5 kwenye degree ya kwanza. Kwa maana hiyo hata hivyo vya CBE, IFM, TIA huwezi kuingia kama hauna 3.5! tena kwa sehemu kama CBE, kwa sasa huwezi kupewa part time kama hauna GPA ya 3.8 kwenye degree ya kwanza!
Tena na kwa kuwa siku hizi ajira za vyuo hivi vidogo zinapitia secretariet, huwez ingia kama una below 3.5!
Fanya mambo mengine, hachana na kufundisha, au labda vyuo vya private na vile vidogo vidogo sana kama green college
 
wakuu hebu mnieleweshe vzr, kama huyo bwana akasoma mpaka level ya PhD bado matokeo ya undergraduate yatamnyima kuwa lecturer?
 
wakuu hebu mnieleweshe vzr, kama huyo bwana akasoma mpaka level ya PhD bado matokeo ya undergraduate yatamnyima kuwa lecturer?

Kama alivyoeleza mjumbe hapo juu ni kwamba kwa udsm na sua kama huna 3.8 ya undergraduate hata uwe na phd hutakua na nafasi.
 
Nijuavyo mimi wanazingatia zaidi matokeo ya degree ya kwanza kama ulikuwa na 3.8 and above, hata kama ungekuwa professor kama shahada ya kwanza ulipata below 3.5 then huna sifa ya kuwa mhadhiri. Lakini kwa Tanzania kinachosemwa si kile kinachofanyika, kwa kuwa haya mambo huwa siri huwezi jua nani anasifa nani hana, ni siri ya waliompachika. Pia waangalie personal competence na si kuwa na GPA kubwa, anaweza akawa alikuwa anakariri na haelewi, pia anaweza akawa anajua vitu lakini hawezi kudeliva.
 
Nawashukuru kwa ushauri ila mlioko vyuon kazen msuli kwa mazngra haya hali ni tete.Course nyngne bwana wahadhir wanabana sana.
 
Kwa vyuo vingi vya sasa hata ukiwa na Phd ila kama bachelor una below 3.8 hupati ng'oo labda kule Teku n.k... sana sana utapelekwa kule administration tu ila hupewi darasa
 
in addition to that kwa udsm kama hujamaliza pale ni vigumu kupata, otherwise uwe umesoma vyuo vya nje ya nchi.
Ahahaaaaaa, charity begins at home. OTOT quality vary among institutions. This is one of the strategy to ensure those that are recruited meet the UDSM quality and help nourishing the institution. Similar to SUA.
 
Binafsi nilitamani sana kuwa mhadhiri na kipind hicho ajira zilikua hazitoki sekretariat bali chuoni kwenyewe, (UDSM) na ilikua kwa course niliyosoma ukipata 3.8 ajira ni automatic coz bado zilikua nadra tofauti na course nyingine ambapo kwa batch moja wenye 3.8 + wanazid 10.

Nilimiss point 1 lakini kwa kuwa lengo lilikua ni 3.8 nilijiona nimefeli (coz lengo halijatimia) japo nimefaulu vizuri tu kwakweli.

Saiv nafanya kaz nyingine (si uhadhiri/ualimu) bt am comfortable na huenda inalipa zaid kuliko kuwa mhadhiri isipokuwa kufahamika na wanafunz. So usikate tamaa tafuta kufanya kaz nyingine hat kama ndoto ya awali haijatimia. It happens
 
TCU guideline to be a University Lecturer you need to have a GPA of 3.5 and above, for UDSM, SUA and ARU you need to have a GPA of 3.8 and above for undergraduate. To be Ana Assistant Lecturer you need to have a GPA of 4.0 and above at masters level at UDSM. Postgraduate qualification does not take away your undergrad performance. Neither it won't give you a qualification to be employed as a TA at UDSM possibly the same to SUA and ARU. May be you should seek for vacant in NACTE colleges like CBE, IFM, TIA, DIT, SW, etc.

good! had no idea of the like related to TCU.
 
kuna mambo mengi ya kufanya don't waste your precious time with lecturing....my little brotherly advice to you.
 
Back
Top Bottom