19981007333040000129
New Member
- Oct 24, 2023
- 1
- 3
Habari ndugu zangu,
Mimi nimehitimu bachelor of laboratory science and technology mwaka 2022 with Gpa of 3.7 but kwasasa nafasi za kazi hususani serikalini ni mpaka connection na mimi sina connection.
Nafikiri mwakani nikachukue degree ya pili ya ualimu kwa lengo lakupata first class ili niweze kua lecture.
Nimechukua hayo maamuzi baada ya kuanzisha biashara na kupata hasara ya takriban 2 million, nimekua nina mawazo mengi na kufikia maamuzi ya kutaka kurudi shule.
Sijahitaji kuchukua master kwa sababu coz yetu hii ya laboratory kwa ngazi ya degree bado ni changa na kwa ufaulu wa gpa 3.7 ni ngumu kuwa lecturer
Naombeni ushauri ndugu zangu.