kisimba thomas
Member
- Jul 8, 2015
- 10
- 0
Nani kakutuma uwe muhimu sasa
Hi guys i hope mko poa,
Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu najua hapa JamiiForums hatujuani tofauti na mitaani.
Mwezi uliopita mpenzi wangu alisafiri kikazi nje ya nchi na hata sasa hajarudi ila yuko mbioni kurudi.
Alipoondoka kama wiki hivi, rafiki yake alikuja kutuona tunaendeleaje, bahati mbaya watoto nilikuwa nimewapeleka kwa mama yangu wakashinde huko weekend yote hiyo, so shemeji alinikuta peke yangu.
Sijui tulianza anzaje, nilikua na feelings kali sana, nilitoa wine tukawa tunakunywa huku tukizungumza mawili matatu, as time went on tukaanza michezo michezo ya kutaniana, nasikitika mwisho wa utani huo kwa bahati mbaya shetani akatupitia tukawa tumezini na baadae tukahamia bedroom.
Hadi sasa tumeshafanya kama mara nane hivi, tumekua pia tuki meet katikati ya wiki, i accept that he is real good than my hubby.
On Tuesday niliamka na homa kali sana kama mtu mwenye Malaria hivi, nikaenda hospital kucheck Malaria but to my surprise naambiwa Niko pregnant, I was shocked, kwa sababu baada ya hubby kusafiri nilipata period, so kwa vyovyote itakuwa ya shemeji.
Nilikuwa najiuliza sijui niitoe kabla hubby hajarudi kwa sababu anarudi ndani ya siku 4 au 5 au nimsubiri aje nimsukumie yeye? Ila pia nina wasiwasi mtoto akija kufanana na shemeji itakuaje?
Nifanyaje?

Kuna wanaume wanaoa 'nuksi na mikosi' mitupu .....
kkkkkkkkHongera sana kwa kuwa mjamzito. Wewe tulia, kitanda hakizai haramu. Halafu ukimchukia mtu unazaa mtoto anafanana nae. Mume akirudi muambie rafiki yako simmpendi.
laiti ningejua anakoishi shetani ningeenda kukuchongea,ume duu we mwenyewe halafu unamsingizia shetani alikupitia,alikuwa akienda wapi hadi akupitie?Hi guys i hope mko poa,
Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu najua hapa JamiiForums hatujuani tofauti na mitaani.
Mwezi uliopita mpenzi wangu alisafiri kikazi nje ya nchi na hata sasa hajarudi ila yuko mbioni kurudi.
Alipoondoka kama wiki hivi, rafiki yake alikuja kutuona tunaendeleaje, bahati mbaya watoto nilikuwa nimewapeleka kwa mama yangu wakashinde huko weekend yote hiyo, so shemeji alinikuta peke yangu.
Sijui tulianza anzaje, nilikua na feelings kali sana, nilitoa wine tukawa tunakunywa huku tukizungumza mawili matatu, as time went on tukaanza michezo michezo ya kutaniana, nasikitika mwisho wa utani huo kwa bahati mbaya shetani akatupitia tukawa tumezini na baadae tukahamia bedroom.
Hadi sasa tumeshafanya kama mara nane hivi, tumekua pia tuki meet katikati ya wiki, i accept that he is real good than my hubby.
On Tuesday niliamka na homa kali sana kama mtu mwenye Malaria hivi, nikaenda hospital kucheck Malaria but to my surprise naambiwa Niko pregnant, I was shocked, kwa sababu baada ya hubby kusafiri nilipata period, so kwa vyovyote itakuwa ya shemeji.
Nilikuwa najiuliza sijui niitoe kabla hubby hajarudi kwa sababu anarudi ndani ya siku 4 au 5 au nimsubiri aje nimsukumie yeye? Ila pia nina wasiwasi mtoto akija kufanana na shemeji itakuaje?
Nifanyaje?
Nahisi tupo wengi sana tulioangukia kundi hili.
Mi simlaumu huyu dada wala asitoe hiyo mimba, mwanamke akiwa ktk siku zake za hatari mara nyingi ni vigumu kujizuia hasa km kuna mwanaume yuko karibu anapiga nae stori. Ni rahisi sana huyo mwanaume kupewa mzigo na mimba atatia pia.
Wewe ni kichaa, inabidi ukapime akili kwanza.Hi guys i hope mko poa,
Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu najua hapa JamiiForums hatujuani tofauti na mitaani.
Mwezi uliopita mpenzi wangu alisafiri kikazi nje ya nchi na hata sasa hajarudi ila yuko mbioni kurudi.
Alipoondoka kama wiki hivi, rafiki yake alikuja kutuona tunaendeleaje, bahati mbaya watoto nilikuwa nimewapeleka kwa mama yangu wakashinde huko weekend yote hiyo, so shemeji alinikuta peke yangu.
Sijui tulianza anzaje, nilikua na feelings kali sana, nilitoa wine tukawa tunakunywa huku tukizungumza mawili matatu, as time went on tukaanza michezo michezo ya kutaniana, nasikitika mwisho wa utani huo kwa bahati mbaya shetani akatupitia tukawa tumezini na baadae tukahamia bedroom.
Hadi sasa tumeshafanya kama mara nane hivi, tumekua pia tuki meet katikati ya wiki, i accept that he is real good than my hubby.
On Tuesday niliamka na homa kali sana kama mtu mwenye Malaria hivi, nikaenda hospital kucheck Malaria but to my surprise naambiwa Niko pregnant, I was shocked, kwa sababu baada ya hubby kusafiri nilipata period, so kwa vyovyote itakuwa ya shemeji.
Nilikuwa najiuliza sijui niitoe kabla hubby hajarudi kwa sababu anarudi ndani ya siku 4 au 5 au nimsubiri aje nimsukumie yeye? Ila pia nina wasiwasi mtoto akija kufanana na shemeji itakuaje?
Nifanyaje?
Malaya mkubwa/;Hi guys i hope mko poa,