Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

Hivi ni kwa nini mnaolewa huku starehe bado mnazipendaa???

Huyo mumeo akirudi hata roho haikuumi hata kidogo?
Ifike mahali tumweshimu Mungu alie waunganishaa
 
mwanamke mchafu wewe, na usipotubu dhambi hiyo mapema kwa mumeo utaachika kabla hujajifungua ili ukafanywe vzr na huyo shemeji yako, msfyuuuuuu umeniharibia weekend yangu
 
Hi guys i hope mko poa,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu najua hapa JamiiForums hatujuani tofauti na mitaani.

Mwezi uliopita mpenzi wangu alisafiri kikazi nje ya nchi na hata sasa hajarudi ila yuko mbioni kurudi.

Alipoondoka kama wiki hivi, rafiki yake alikuja kutuona tunaendeleaje, bahati mbaya watoto nilikuwa nimewapeleka kwa mama yangu wakashinde huko weekend yote hiyo, so shemeji alinikuta peke yangu.

Sijui tulianza anzaje, nilikua na feelings kali sana, nilitoa wine tukawa tunakunywa huku tukizungumza mawili matatu, as time went on tukaanza michezo michezo ya kutaniana, nasikitika mwisho wa utani huo kwa bahati mbaya shetani akatupitia tukawa tumezini na baadae tukahamia bedroom.

Hadi sasa tumeshafanya kama mara nane hivi, tumekua pia tuki meet katikati ya wiki, i accept that he is real good than my hubby.

On Tuesday niliamka na homa kali sana kama mtu mwenye Malaria hivi, nikaenda hospital kucheck Malaria but to my surprise naambiwa Niko pregnant, I was shocked, kwa sababu baada ya hubby kusafiri nilipata period, so kwa vyovyote itakuwa ya shemeji.

Nilikuwa najiuliza sijui niitoe kabla hubby hajarudi kwa sababu anarudi ndani ya siku 4 au 5 au nimsubiri aje nimsukumie yeye? Ila pia nina wasiwasi mtoto akija kufanana na shemeji itakuaje?

Nifanyaje?
Yaani huna haya kama MBWA KOKO.
 
Usitoe mimba kwanini uuwe kiumbe ambacho hakina atia yeyote? Umuogopi Mola wako chamsingi tubia kwa Mola wako kwa dhambi ulioifanya kisha fanya hii kuwa siri yako usimwambie mtu yeyote na uyo jamaa ambaye ni rafiki wa mme wako jiweke naye mbali asije akakuvunjia ndoa
 
Naomba nikushaur ivi siku zote mwanaume mtamu aliye kupenda na kukuoa hao wengine hakuna kitu kama huamini achana na mmeo nenda kwa shemu ako afu la mwisho ni katubu kwa mungu wako afu iyo siri iwe ni yako usimwambie mtu afu uyu mtoto mpe mme wko mpendwa kwa moyo wote na usahau
 
rachel peterson,


Nimefatilia Kila comment iliyo apa nimeona zote ni za lawama tu bila kutoa ushauri, Yangu ni haya kwa wote...

Tangu mwanzoni kabisa, uzinzi limekuwa ni kosa kuu lililoambatana na adhabu kali (MWANZO 38:24; AYUBU 31:9-11; WALAWI 20:10; KUMBUKUMBU 17:5.

Kwa mwanamke mzinzi, mawe hayo yalilengwa kwenye matiti yake. Maandiko yanasema, yeye aziniye na mwanamke HANA AKILI KABISA na hata akisamehewa dhambi, fedheha yake haifutiki (MITHALI 6:32-33)

Pamoja na wao kumleta mzinzi mbele ya Yesu na kumshitaki, Yesu alitaka kwanza kila mmoja wao aangalie maisha yake kwanza kabla ya kuyaangalia ya wengine, na kutoa kwanza boriti iliyo ndani ya jicho lake mwenyewe, kabla ya kutazama kibanzi kilicho ndani ya jincho la mwingine (MATHAYO 7:3-4; WARUMI 2:21-22).
 
Kila mwanadamu ndani ya nafsi yake, kuna kitu kinachoitwa dhamiri. Tunapofanya makosa au dhambi, dhamiri yetu hutushitaki mara baada ya kusikia neno linalofichua dhambi zetu (WARUMI 2:15; 1 TIMOTHEO 4:2).

Dhamiri hii imewekwa na Mungu ili kutusaidia kutubu dhambi zetu mara tunaposhitakiwa na dhamiri. Mwelekeo wetu baada ya kushitakiwa na dhamiri, ni wa muhimu sana katika kutufanya tupate uzima au mauti.
 
Nkicho ki observe watu wengi walo cheat huwa wana jitetea , walo cheat nao ni wazur kitandani kuliko wapenzi wao.
Yaan naamini ule ukweli uki cheat huez acha hko kijitabia
 
Itabidi kwanza utubie makosa yako, Pili mwambie ukweli mumeo usimfiche kabisa na rafiki yake usimwambie lolote kaa nae mbali KIKUBWA USITHUBUTU KUITOA IYO MIMBA KWA KUOGOPA WATU AU FEDHEHA KUMBUKA MAISHA YA DUNIA NI MAFUPI SANA KWA MUNGU HILO NI KOSA KUBWA SANA.
 
Ukitembea peku lazima uokote mbegu.... kwani shetani alikupanua miguu pia
 
Back
Top Bottom