Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

Hi guys i hope mko poa,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu najua hapa JamiiForums hatujuani tofauti na mitaani.

Mwezi uliopita mpenzi wangu alisafiri kikazi nje ya nchi na hata sasa hajarudi ila yuko mbioni kurudi.

Alipoondoka kama wiki hivi, rafiki yake alikuja kutuona tunaendeleaje, bahati mbaya watoto nilikuwa nimewapeleka kwa mama yangu wakashinde huko weekend yote hiyo, so shemeji alinikuta peke yangu.

Sijui tulianza anzaje, nilikua na feelings kali sana, nilitoa wine tukawa tunakunywa huku tukizungumza mawili matatu, as time went on tukaanza michezo michezo ya kutaniana, nasikitika mwisho wa utani huo kwa bahati mbaya shetani akatupitia tukawa tumezini na baadae tukahamia bedroom.

Hadi sasa tumeshafanya kama mara nane hivi, tumekua pia tuki meet katikati ya wiki, i accept that he is real good than my hubby.

On Tuesday niliamka na homa kali sana kama mtu mwenye Malaria hivi, nikaenda hospital kucheck Malaria but to my surprise naambiwa Niko pregnant, I was shocked, kwa sababu baada ya hubby kusafiri nilipata period, so kwa vyovyote itakuwa ya shemeji.

Nilikuwa najiuliza sijui niitoe kabla hubby hajarudi kwa sababu anarudi ndani ya siku 4 au 5 au nimsubiri aje nimsukumie yeye? Ila pia nina wasiwasi mtoto akija kufanana na shemeji itakuaje?

Nifanyaje?

Tokea October hadi sasa natumai kitumbo hakijambo...vipi ulimbambikia mumeo ama ulinyofoa?
 
Wanawake wa tz ndio mpo hivo kwenye ndoa bora niwe Padri tu
Maana hizi presha za kuchapiwa mara DNA mtoto sio wako, mkeo kafia guesti mara sijui nn siziwezi
 
Malaya Ni Malaya tu ...alafu hunaaibu eti shetani kanipitia ...mara zote hizo ???? Shetani hawezi kukupitia mpaka nawewe uweshetani ...yani hapo badala ya shetani kukushawishi wewe ndo unamshawishi shetani ...Na ngoja nirudi ndo utajua ...
 
Shetani ni sawa na jamhuri maana kila kesi utaambiwa anashitakiwa na jamhuri. Yaani mtu anafanya jambo anasema kazi ya shetani mara ya kwanza shetani mara ya pili shetani mmmh jamani shetani kazi anayo
 
kaaah 8 times sister hapo hata mmeo hawez kukusamehe
en am sure badoo unaendelea mpka sasa
ukitoa mimba dhambi
wee endelea tuuu
 
Viuno ukatike mwenyewe,ushauri j.f kwenda zako huko...ushauri unauzwa Sikh hizi!
 
Hi guys i hope mko poa,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu najua hapa JamiiForums hatujuani tofauti na mitaani.

Mwezi uliopita mpenzi wangu alisafiri kikazi nje ya nchi na hata sasa hajarudi ila yuko mbioni kurudi.

Alipoondoka kama wiki hivi, rafiki yake alikuja kutuona tunaendeleaje, bahati mbaya watoto nilikuwa nimewapeleka kwa mama yangu wakashinde huko weekend yote hiyo, so shemeji alinikuta peke yangu.

Sijui tulianza anzaje, nilikua na feelings kali sana, nilitoa wine tukawa tunakunywa huku tukizungumza mawili matatu, as time went on tukaanza michezo michezo ya kutaniana, nasikitika mwisho wa utani huo kwa bahati mbaya shetani akatupitia tukawa tumezini na baadae tukahamia bedroom.

Hadi sasa tumeshafanya kama mara nane hivi, tumekua pia tuki meet katikati ya wiki, i accept that he is real good than my hubby.

On Tuesday niliamka na homa kali sana kama mtu mwenye Malaria hivi, nikaenda hospital kucheck Malaria but to my surprise naambiwa Niko pregnant, I was shocked, kwa sababu baada ya hubby kusafiri nilipata period, so kwa vyovyote itakuwa ya shemeji.

Nilikuwa najiuliza sijui niitoe kabla hubby hajarudi kwa sababu anarudi ndani ya siku 4 au 5 au nimsubiri aje nimsukumie yeye? Ila pia nina wasiwasi mtoto akija kufanana na shemeji itakuaje?

Nifanyaje?
laiti ningejua anakoishi shetani ningeenda kukuchongea,ume duu we mwenyewe halafu unamsingizia shetani alikupitia,alikuwa akienda wapi hadi akupitie?
 
Mi simlaumu huyu dada wala asitoe hiyo mimba, mwanamke akiwa ktk siku zake za hatari mara nyingi ni vigumu kujizuia hasa km kuna mwanaume yuko karibu anapiga nae stori. Ni rahisi sana huyo mwanaume kupewa mzigo na mimba atatia pia.

Kwa hiyo Mara nane bado yuko hatari?Duh
 
Hi guys i hope mko poa,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu najua hapa JamiiForums hatujuani tofauti na mitaani.

Mwezi uliopita mpenzi wangu alisafiri kikazi nje ya nchi na hata sasa hajarudi ila yuko mbioni kurudi.

Alipoondoka kama wiki hivi, rafiki yake alikuja kutuona tunaendeleaje, bahati mbaya watoto nilikuwa nimewapeleka kwa mama yangu wakashinde huko weekend yote hiyo, so shemeji alinikuta peke yangu.

Sijui tulianza anzaje, nilikua na feelings kali sana, nilitoa wine tukawa tunakunywa huku tukizungumza mawili matatu, as time went on tukaanza michezo michezo ya kutaniana, nasikitika mwisho wa utani huo kwa bahati mbaya shetani akatupitia tukawa tumezini na baadae tukahamia bedroom.

Hadi sasa tumeshafanya kama mara nane hivi, tumekua pia tuki meet katikati ya wiki, i accept that he is real good than my hubby.

On Tuesday niliamka na homa kali sana kama mtu mwenye Malaria hivi, nikaenda hospital kucheck Malaria but to my surprise naambiwa Niko pregnant, I was shocked, kwa sababu baada ya hubby kusafiri nilipata period, so kwa vyovyote itakuwa ya shemeji.

Nilikuwa najiuliza sijui niitoe kabla hubby hajarudi kwa sababu anarudi ndani ya siku 4 au 5 au nimsubiri aje nimsukumie yeye? Ila pia nina wasiwasi mtoto akija kufanana na shemeji itakuaje?

Nifanyaje?
Wewe ni kichaa, inabidi ukapime akili kwanza.
 
Umaraya umemuingia damuni hakuna cha shetani wala ibilisi, ningemjua mumeo ningemwambia kabla hujamsakizia.
 
Hi guys i hope mko poa,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu najua hapa JamiiForums hatujuani tofauti na mitaani.

Mwezi uliopita mpenzi wangu alisafiri kikazi nje ya nchi na hata sasa hajarudi ila yuko mbioni kurudi.

Alipoondoka kama wiki hivi, rafiki yake alikuja kutuona tunaendeleaje, bahati mbaya watoto nilikuwa nimewapeleka kwa mama yangu wakashinde huko weekend yote hiyo, so shemeji alinikuta peke yangu.

Sijui tulianza anzaje, nilikua na feelings kali sana, nilitoa wine tukawa tunakunywa huku tukizungumza mawili matatu, as time went on tukaanza michezo michezo ya kutaniana, nasikitika mwisho wa utani huo kwa bahati mbaya shetani akatupitia tukawa tumezini na baadae tukahamia bedroom.

Hadi sasa tumeshafanya kama mara nane hivi, tumekua pia tuki meet katikati ya wiki, i accept that he is real good than my hubby.

On Tuesday niliamka na homa kali sana kama mtu mwenye Malaria hivi, nikaenda hospital kucheck Malaria but to my surprise naambiwa Niko pregnant, I was shocked, kwa sababu baada ya hubby kusafiri nilipata period, so kwa vyovyote itakuwa ya shemeji.

Nilikuwa najiuliza sijui niitoe kabla hubby hajarudi kwa sababu anarudi ndani ya siku 4 au 5 au nimsubiri aje nimsukumie yeye? Ila pia nina wasiwasi mtoto akija kufanana na shemeji itakuaje?

Nifanyaje?
Malaya mkubwa/;
 
We mwanamke hauna hata aibu na ulaaniwe na wanaume wote, hauna akili, kwa kufikiria kuwa Mme wako hayuko vizuri kama rafiki yako, we kwa akili zako fupi unazani binadamu tumefanana kwa kila kitu? Ndo maana kukawepo na warefu, wafupi, wanene na wembamba. Hivyo hivyo hata uwezo wa kufikiri na hata kutenda umetofautiana kama ambavyo wewe uko na akili kama za funza kuona kila kitu kiko sawa.
 
Wanawake kama hawa Dawa yako Ni Bastolaaa..unatudhalilisha wanawake wenzakoo..Na pia kutuharibiaa Pichuu uvuliwee we Kutuchafuaa utuchafuee wotee...I wish to .....k...you
 
Back
Top Bottom