Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

Usiitoe MAMA niletee nitailea tu ! ila ACHA umalaya ukasingizia shetani ukiitoa nakuombea DUA ufe nayo maana hiyo ni dhambi.
 
Hi guys i hope mko poa,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu najua hapa JamiiForums hatujuani tofauti na mitaani.

Mwezi uliopita mpenzi wangu alisafiri kikazi nje ya nchi na hata sasa hajarudi ila yuko mbioni kurudi.

Alipoondoka kama wiki hivi, rafiki yake alikuja kutuona tunaendeleaje, bahati mbaya watoto nilikuwa nimewapeleka kwa mama yangu wakashinde huko weekend yote hiyo, so shemeji alinikuta peke yangu.

Sijui tulianza anzaje, nilikua na feelings kali sana, nilitoa wine tukawa tunakunywa huku tukizungumza mawili matatu, as time went on tukaanza michezo michezo ya kutaniana, nasikitika mwisho wa utani huo kwa bahati mbaya shetani akatupitia tukawa tumezini na baadae tukahamia bedroom.

Hadi sasa tumeshafanya kama mara nane hivi, tumekua pia tuki meet katikati ya wiki, i accept that he is real good than my hubby.

On Tuesday niliamka na homa kali sana kama mtu mwenye Malaria hivi, nikaenda hospital kucheck Malaria but to my surprise naambiwa Niko pregnant, I was shocked, kwa sababu baada ya hubby kusafiri nilipata period, so kwa vyovyote itakuwa ya shemeji.

Nilikuwa najiuliza sijui niitoe kabla hubby hajarudi kwa sababu anarudi ndani ya siku 4 au 5 au nimsubiri aje nimsukumie yeye? Ila pia nina wasiwasi mtoto akija kufanana na shemeji itakuaje?

Nifanyaje?
Uzinzi unakusumbua usisahau kupima na ukimwi manake hata kondom uliona shida kuvaa
 
Shetani aliwapitia mkaenda wapi?

Mke wa mtu Malaya kama wewe ni hasara sana.
Baadae atakuja kusema wanaume ni wanyamaa huyo jamaa labda awe bwege akikuta na mimba kaz unayo na ukwel lazma ujulikane
 
Hi guys i hope mko poa,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri kwa sababu najua hapa JamiiForums hatujuani tofauti na mitaani.

Mwezi uliopita mpenzi wangu alisafiri kikazi nje ya nchi na hata sasa hajarudi ila yuko mbioni kurudi.

Alipoondoka kama wiki hivi, rafiki yake alikuja kutuona tunaendeleaje, bahati mbaya watoto nilikuwa nimewapeleka kwa mama yangu wakashinde huko weekend yote hiyo, so shemeji alinikuta peke yangu.

Sijui tulianza anzaje, nilikua na feelings kali sana, nilitoa wine tukawa tunakunywa huku tukizungumza mawili matatu, as time went on tukaanza michezo michezo ya kutaniana, nasikitika mwisho wa utani huo kwa bahati mbaya shetani akatupitia tukawa tumezini na baadae tukahamia bedroom.

Hadi sasa tumeshafanya kama mara nane hivi, tumekua pia tuki meet katikati ya wiki, i accept that he is real good than my hubby.

On Tuesday niliamka na homa kali sana kama mtu mwenye Malaria hivi, nikaenda hospital kucheck Malaria but to my surprise naambiwa Niko pregnant, I was shocked, kwa sababu baada ya hubby kusafiri nilipata period, so kwa vyovyote itakuwa ya shemeji.

Nilikuwa najiuliza sijui niitoe kabla hubby hajarudi kwa sababu anarudi ndani ya siku 4 au 5 au nimsubiri aje nimsukumie yeye? Ila pia nina wasiwasi mtoto akija kufanana na shemeji itakuaje?

Nifanyaje?
Mrejesho plz
 
Hii hadith yako siyo nzuri. Unatufanya tusiwaamini wake zetu tunaposafiri. Unavyoongea bila aibu inashangaza. Siku za mwizi ni arubaini.
 
yan
wewe shetani amekupitia mara ya kwanza ya pili ya tatu ya nne mpaka ya nane na kila siku anapita akikuvua chupi ukakubali.... shetani amekuzidi akili pole....

mkanywa wine ,, mkaanzia sebuleni mpaka chumbani... mkakunajana vizuri tu shetani akiwa anapita tu......

ushauri ni kuwa mzalie mumeo huyo mtoto tu atalea matunda ya rafiki ake ya kukukuna vizuri mpaka unamsifia na kumsahahu mumeo.......

jifanye surprise am pregnant hubby sijui ... huku ukiendelea kumpa papuchi yako,.....

nimechukia umeniudhi unazini na rafiki wa mumeo unampa kavu anakukojolea humo ndani jamani... umetiana nae ndani ya nyumba ya mumeo kweli? kwanza huna heshima mama huo ni ukweli mchungu..... katubu kwa muumba wako la sivyo unaweka doa ndoa yako lisilofutika....
amtosha kwa kweli
 
Ikitokea mme wako akaamua kupunguza upendo wake kwako kwa sababu hiyo utamlaumu nani? Ukitoa mimba ujuwe utabaki na hatia ya kuuwa kiumbe kichanga. Kweli wewe ni malaya unayejaribu kufunika kosa kwa mgongo wa shetani wakati shetani ni wewe mwenyewe.
 
Kufanya uzinifu ndani ya nyumba ya mumeo,kitanda chenu,chumbani kwake,ukampa na taulo la mumeo alitumie kujifutia baada ya kuoga,kweli nimeamini,dunia uwanja wa fujo
 
Poor you and your child brain,endelea na raha zako akija mmeo mueleze your friend is better than him in bed
 
Mi simlaumu huyu dada wala asitoe hiyo mimba, mwanamke akiwa ktk siku zake za hatari mara nyingi ni vigumu kujizuia hasa km kuna mwanaume yuko karibu anapiga nae stori. Ni rahisi sana huyo mwanaume kupewa mzigo na mimba atatia pia.
 
Back
Top Bottom