Nina miaka 30 bado bikira, naomba ushauri

tatizo unalijua wewe mtu ukae nae miaka 3 hata nyege nae huna we unadhani yule binti ni mamako mzazi hadi muishi hivyo? wala usitafute mchawi au ushauri, wewe tafuta msichana uwe serious ufanye yale yote ambayo wengine hufanya. au una tatizo la kuto kusimamisha msuli wa katikati ya miguu??? kama ni hivyo basi itakuwa ngumu kupata wa kudumu nae katika hali hiyo, jiangalie mwenyewe utagundua tu wapi unakosea
 
mh?? ya leo kali, kaka wa pili humu ambaye bado bikira, tafuta mke uoe na kabla ya yote jifanyie tathmini ya kina wewe binafsi ili ujue ni kwanini wadada wanakukimbikia
 
Ni kweli , kama hujabainisha tatizo la kukimbiwa then unaomba msaada itakuwa vigumu.
Mi nakushauri tu kwanza ukate mzizi wa tatizo la kukimbiwa then tatizo likijirudia ndipo uje hapa kuomba msaada. so just try first yourself kaka.....poole
 
Ina mana hata malaya hujawahi nunua? kama wewe sio Mcha mungu wa kutaka ufanye tendo la ndoa kwney ndoa basi una tatizo, unahitaji kujitambua. je una po kua ukihisi matamanio unatamani jinsia ipi zaidi, je uume wako una simama?
 
Kuna thread inaongelea hii ki2, mwenzio naye kama wewe na 2mempa miushauri kibao. Nenda search utaipata!
 
tafuta movie 'a 40 yrs old virgin', nzuri sana. hujachelewa,kwani hiyo bikira inakuletea maumivu? if no,achana nayo,utapata mwenza aliye bikira na mtafurahia maisha sana.
 
Kikubwa ni upunguze usharobaro, majidai, kumdhamini utakayempata, usiwe too demanding, kuwa real!!!!!
 
Itakuwa vigumu kubaini ni kwanini wakimbiwa, lakini may be ungeomba hao wadada waliokukimbia wakupe sababu zao ni kwanini waliamua hivyo na hapo unawezapata hint. Inawezekana ikasababishwa na vitu vingi sana na vilevile kuna vitu vidogo sana ambavyo wewe unaweza ukavioverlook ukaona ni ok, lakini kwa wanawake vikawa ni big deal. Umesema wewe ni attorney, hela unazo, na umtananashati etc.
Yawezakuwa labda ulikimbiwa sababu ya usafi, kauli zako, attitude etc.

Sheriff,kwa kauli,utanashati,usafi na attitude ki ukweli najitahidi sana ku observe kwa mtu yeyote hata stranger,hawa wote lakini walirudi kwa vipindi tofauti na kuomba msamaha,lakini si unajua maumivu ya kuletewa makombo??????????na mimi nkasusa.
 
Pole sana dada. Kuna mambo mengi sana kwenye mahusiano ya msichana na mvulana. Katika mazingira ya DINI hamtakiwi kufanya MAPENZI KABLA YA NDOA. Lakini katika mazingira halisi ya maisha ya KISASA, KU DU NI (ALMOST) LAZIMA. Hali halisi ni kuwa kila mmoja angependa kujaribu aone radha na mambo mengine asije kuchukua MATATIZO. Kumbuka ukipata kimeo katika ndoa kinakuwa chako kwa maisha yako YOTE. Jambo la msingi ni kuenda na mtindo wa maisha (life style). Wenzako wanaachia, nawe achia. Ndiyo hali halisi. Ofcourse kukaa miaka 30 bila kufanya pia ni UNUSUAL ingawa bado hujachelewa sana.

Kwa sasa jaribu kuwa karibu na mtu unayevutiwa naye ili apate nafasi ya yeye kukuanza then mambo yaendelee. Jaribu sana kujishusha, kuongeza upendo kwa wasichana wenzako na wavulana ili watu wavutiwe nawe. Ningekuwa nimekutana nawe ningejua tabia yako (how reactive are you). Kwa sasa jitahidi sana kujirekebisha nafsini mwako. Mungu ni wa wote utaolewa.
 
Mkuu Mvua ya Kiangazi hata uctaman hako ka mchezo, TUTAKUTOA KA'BIKIRA KAKO, SISI WANAUME USITUPIME! Bora ubaki na Ukama wako, kitunze!

Mkuu,tasavali sana,mimi niko fiti kabisa,problem ni malezi+seminary miaka yooote ya foolish age,from f.1-6, nahitaji majibu ili nisije kuingia kwenye ndoa nikakimbiwa tena...........
 
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini..............naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...

lol.. makubwa haya,
siku hizi wanaume ndo wana bikira, sasa dada zetu sijui ndo wamekuwa marijali?
 
Pole sana dada. Kuna mambo mengi sana kwenye mahusiano ya msichana na mvulana. Katika mazingira ya DINI hamtakiwi kufanya MAPENZI KABLA YA NDOA. Lakini katika mazingira halisi ya maisha ya KISASA, KU DU NI (ALMOST) LAZIMA. Hali halisi ni kuwa kila mmoja angependa kujaribu aone radha na mambo mengine asije kuchukua MATATIZO. Kumbuka ukipata kimeo katika ndoa kinakuwa chako kwa maisha yako YOTE. Jambo la msingi ni kuenda na mtindo wa maisha (life style). Wenzako wanaachia, nawe achia. Ndiyo hali halisi. Ofcourse kukaa miaka 30 bila kufanya pia ni UNUSUAL ingawa bado hujachelewa sana.

Kwa sasa jaribu kuwa karibu na mtu unayevutiwa naye ili apate nafasi ya yeye kukuanza then mambo yaendelee. Jaribu sana kujishusha, kuongeza upendo kwa wasichana wenzako na wavulana ili watu wavutiwe nawe. Ningekuwa nimekutana nawe ningejua tabia yako (how reactive are you). Kwa sasa jitahidi sana kujirekebisha nafsini mwako. Mungu ni wa wote utaolewa.

Mzalendo nadhani kuna mistake of fact kidogo,mimi ni kidume,rijali.................
 
Una UHAKIKA wewe ni rijali???Nauliza tu maana thread inaonyesha sio!Au labda mimi ndo sijui maana....

Lizzie,nina uhakika,coz nonino inasimama na misuli yote inaonekana,istoshe nina shuka(bedsheet)nyingi kuliko nguo za kawaida,maana msimu wa wet drimz ukianza ni balaa.................
 
Back
Top Bottom