Nina miaka 30 bado bikira, naomba ushauri

Mvua Ya Kiangaz

JF-Expert Member
May 24, 2011
308
144
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini.

Naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...
 
Itakuwa vigumu kubaini ni kwanini wakimbiwa, lakini may be ungeomba hao wadada waliokukimbia wakupe sababu zao ni kwanini waliamua hivyo na hapo unawezapata hint. Inawezekana ikasababishwa na vitu vingi sana na vilevile kuna vitu vidogo sana ambavyo wewe unaweza ukavioverlook ukaona ni ok, lakini kwa wanawake vikawa ni big deal. Umesema wewe ni attorney, hela unazo, na umtananashati etc.
Yawezakuwa labda ulikimbiwa sababu ya usafi, kauli zako, attitude etc.
 
Utakua na jini mahaba wewe,na cjui utafanyaje wkt mtaalam wa hayo madude{shekh yahaya}ha2naye tena.
 
usharobaro!mademu unaowapata hawapendi ubishoo!na pia ukiwa nao usipende kuongelea issue zako,mfano shule yako,kaz yako,pesa zako nk.unawaboa!na nyie wana sheria mnavyojua kujisifu,jitahd kuwa wa kawaida,us complicate issues.ni hayo tuu mkuu!
 
Umesoma seminary????Una tembokad master kadi????
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini..............naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...
 
Taken az it izzzzz coconutjaz
jogoo halipandi mtungi. Sie mabinti wajanja sana, huwa tunafanya visa ili mradi nikuguse uume wako ili nicheki sizi. Huenda wanawake wako walikushika nawe hukushtuka chini hata kidogo.
 
Back
Top Bottom