Nina miaka 30 bado bikira, naomba ushauri

Pole sana. kaka yangu mpendwa

Pole ya nini tena ?? Anastahili hongera.

Mkuu hauna tatizo lolote, na uko vizuri tu. Fikiria mipango ya kuoa tu uwe na wako peke yako.
Wapo waliokaa hadi miaka 40, wengine haoi kabisa (mapadri). Ni uamuzi tu..
 
  • Thanks
Reactions: Paw
tatizo unalijua weye mwenyewe!! Hapa huwezi pata jibu. Kwa umri wako inabidi uwe na mtoto tayari ili kama ukijaaliwa kufikisha 60 yrs mwanao atakuwa na 30 yrs ambapo atakuwa tayari anajitegemea so ukistaafu ukapewa kiinua mgongo maybe unatumia mwenyewe sio kwenda kulipia ada.
 
Mkuu Mvua ya Kiangazi hata uctaman hako ka mchezo, TUTAKUTOA KA'BIKIRA KAKO, SISI WANAUME USITUPIME! Bora ubaki na Ukama wako, kitunze!
 
Kwa kuwa humu kuna Ma-Great thinkers mpaka wa mapenz, kwanin asijitokeze mmoja ku-do na huyu jamaa ndo ataweza kutuambia tatizo lake?
 
Kwa kuwa humu kuna Ma-Great thinkers mpaka wa mapenz, kwanin asijitokeze Dada mmoja ku-do na huyu jamaa ndo ataweza kutuambia tatizo lake?
 
Mbona nyie watu siku hizi hamjiamini, kwani hilo nalo ni tatizo? Wakati unakitunza si uliamua mwenyewe au ulikuwa unafikiria nini? We oa ndo utapata jibu la swali lako!
 
hivi mwanaume unakuwaje bikira kaka? ina maana una utepe bado?
kama ndiyo, basi hata haja ndogo hupati basi.
 
Lol.. bahati mbaya Miss Judith alishapata mtu.. Ingekuwa poa kweli muungano wenu..
 
Hao wanawake walikukimbia sababu ya msimamo wako, kama unakaa nae miaka mitatu bila ku do wala kujitambulisha kwao unategemea nini? Sasa umri wa kuoa umeshafika, tafuta mchumba muoane mkajifunzie humo ndoani, wala sio ugonjwa
 
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini..............naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...


itunze mtu wangu bikira yako usiitupe ovyo....kaa nayo tu usije ukajuta
 
Back
Top Bottom