Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 3,363
- 17,508
Na uwezo wa mtu unajidhihirisha tu.Hahaah Mambo Ya BS na Chand ,understanding Chem, Princple.. Kwa mwaka mmoja tena QT Halafu hajasoma kwa miaka 10
Mzee 🤣🤣🤣 astick na dip tu maana atakachokutana nacho Mungu ndo anajua 😅😅
Form 4 alipata Div 3. Unategemea Advance tena PCB ang'ooke?
Wanaaomshauri apige QT wanampoteza. Advance ule ni mziki mwingine.
Mimi ni Daktari kwa sasa, ila elimu ambayo ninaipa salute ni ya form 5&6. Miaka miwili yenye vitu vingi sana.
Mkuu, usidanganyike. Utachora 0. Miaka 10, ujiandae kwa miezi sita ufanye mtihani wa form 6? Usipoteze muda Mkuu.
Nini haswa kinakuvutia kwenye Udaktari? Kama ni kuhudumia watu wapone, hata Tabibu (CO) anafanya hivyo. Soma Diploma ya Clinical Medicine miaka mitatu.