Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,557
- 2,694
Sasa umeleta humu sisi tufanye nini,ishasema unatafuta hela urudie rangi,unesema wazaz wamekuomba radhi na umesema umeshindwa kumpiga ana umri miaka 5.Sisi tufanyaje bro?Nilikuwa nimeegesha huko nje,Si unajua tena maisha yetu huku uswahilini tumebanana sana .
Nilipotoka nje nikamkuta mtoto wa jirani yangu ameshika msumari anachora bodi la haka kagari kangu ambako nimekanunua kwa shida kweli kweli. Moyo umeniuma.
Nimeshindwa nimfanye nini huyu mtoto maana ni mdogo sana, ana umri kama miaka 5 hivi.
Usawa ni mgumu sana kwa sasa ,inabidi nikomae nitafute pesa ya kurudishia rangi.
Nimewaeleza wazazi wake wameishia kuniomba radhi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app