Nina hasira mtoto wa jirani amechora bodi la gari yangu

Nilikuwa nimeegesha huko nje,Si unajua tena maisha yetu huku uswahilini tumebanana sana .

Nilipotoka nje nikamkuta mtoto wa jirani yangu ameshika msumari anachora bodi la haka kagari kangu ambako nimekanunua kwa shida kweli kweli. Moyo umeniuma.

Nimeshindwa nimfanye nini huyu mtoto maana ni mdogo sana, ana umri kama miaka 5 hivi.

Usawa ni mgumu sana kwa sasa ,inabidi nikomae nitafute pesa ya kurudishia rangi.

Nimewaeleza wazazi wake wameishia kuniomba radhi tu.
Sasa umeleta humu sisi tufanye nini,ishasema unatafuta hela urudie rangi,unesema wazaz wamekuomba radhi na umesema umeshindwa kumpiga ana umri miaka 5.Sisi tufanyaje bro?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I have shared here ,simply because ,some people know how to fix this problem ,be cool brother ,it can happen to you one day.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nimeegesha huko nje,Si unajua tena maisha yetu huku uswahilini tumebanana sana .

Nilipotoka nje nikamkuta mtoto wa jirani yangu ameshika msumari anachora bodi la haka kagari kangu ambako nimekanunua kwa shida kweli kweli. Moyo umeniuma.

Nimeshindwa nimfanye nini huyu mtoto maana ni mdogo sana, ana umri kama miaka 5 hivi.

Usawa ni mgumu sana kwa sasa ,inabidi nikomae nitafute pesa ya kurudishia rangi.

Nimewaeleza wazazi wake wameishia kuniomba radhi tu.
Usipaki gari uswazi. Na ukipaki weka mtoto mkubwa kuilinda
 
Kuna wakati mwingine unacheza na akili ya watoto pia kuwa mkarimu ni jambo zuri
Je hata pipi umewahi kuwanunulia watoto wa jirani?
Kama bado anza

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Nilikuwa nimeegesha huko nje,Si unajua tena maisha yetu huku uswahilini tumebanana sana .

Nilipotoka nje nikamkuta mtoto wa jirani yangu ameshika msumari anachora bodi la haka kagari kangu ambako nimekanunua kwa shida kweli kweli. Moyo umeniuma.

Nimeshindwa nimfanye nini huyu mtoto maana ni mdogo sana, ana umri kama miaka 5 hivi.

Usawa ni mgumu sana kwa sasa ,inabidi nikomae nitafute pesa ya kurudishia rangi.

Nimewaeleza wazazi wake wameishia kuniomba radhi tu.
Jipe moyo, MUNGU huwa hadhindwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom