Kuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi.
NB:- Naomba usichangie kama huna cha msingi cha kuongea
Unataka umuuzie kale ka-post kako nini.Ongeza hela hiyo tuongee.
Duh....pole sana kumbe wewe ulidondosha vazi kupata hapo ulipo. Mi nataka nitumie jeuli ya pesa
inawezekana mtoa thread hiyo degree yake niya chup....,kwahiyo hawezi kufurukuta kwenye soko la ajira,kama anaweza kuhonga pesa kupata kazi ,basi atakuhonga vitu vingine sio shida kwakeKuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi.