Nina 1Mil nataka post zilizo toka Udom

spike

Senior Member
Jan 8, 2011
112
15
Kuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi.

NB:- Naomba usichangie kama huna cha msingi cha kuongea
 
Yaan kama hatuna cha maana tusichangie! Kwa hiyo hichi cha kununua kazi umeona ndo cha maana! Safari bado ndefu sana aisee! Kha!
 
Mshonee "mkuu wa kaya" suti tano na hako ka milioni kako then umpelekee afu umwambie shida yako atakupa hata u DVC(Deputy Vice Chancelor).
 
Yaan kama hatuna cha maana tusichangie! Kwa hiyo hichi cha kununua kazi umeona ndo cha maana! Safari bado ndefu sana aisee! Kha!

safari bado ndefu sana hata usishangaee, watakapo kuja kukununua wewe hapo ndio ushangae co kununua kazi
 
kweli kusoma sikufuta ujinga!nahuo ndo mwisho wa akili yako kufikiri.ndo nyie ambao mpo tayari hata kuua au kuroga ili upate kaz flan!no wonder madudu hayaish nchi hii..kafungue hata biashara yakuuza vichwa vya kuku waweza faidika...nonsense
 
Kuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi.

NB:- Naomba usichangie kama huna cha msingi cha kuongea
inawezekana mtoa thread hiyo degree yake niya chup....,kwahiyo hawezi kufurukuta kwenye soko la ajira,kama anaweza kuhonga pesa kupata kazi ,basi atakuhonga vitu vingine sio shida kwake
 
Kuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi.

NB:- Naomba usichangie kama huna cha msingi cha kuongea

Hiyo 1mill ni hongo au nini sasa?
 
Hiyo inatosha nauli ya kwenda Nigeria na kurudi, usihangaike, fanya hivyo na kazi utapata
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom