Mwananzuoni
JF-Expert Member
- Apr 22, 2009
- 290
- 69
Nimefikiria sana kuhusu hili. Mwishowe nimegundua story hii ni ya kutunga kama story zingine!
Hivi wewe unafanya kazi ya kuhakikisha shemeji zako hawatoki nje ya ndoa za dada zako? Sijaelewa hiyo curiosity yako imeanzia wapi.
Hivi ukimwambia dada yako, halafu wasipoachana itakuwaje? Nadhani si busara kwa mwanaume kufuatilia ndoa ya dada yake!
Wewe ushawahi ku'cheat'?
jamani naona sasa mambo yamegeuka kwa kasi ya ajabu na hiyo ndoa bado changa
Labda shemeji ameshindwa kuridhika na dadaako
Nimekosa la kusema hapa
mmmmh jamani jamani mbona kila sehemu kuna vilio tu!
hizi ndoa kwani wanaume mlilazimishwa?
hawezi kusema mkewe hamridhishi wakati ndo wkanza wana miezi kadhaa, wanatakiwa watatue matatizo yao sio kukimbilia wanawake miji mengine
shame on him ......and shame on wanaume wote wenye tabia za hivi
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.
Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na mara nikakuta jina la a.k.a la shemeji yangu likuwa ninatafuta mchumba au rafiki wa kike TU wa kuchati nae.
Mi nikajipa jina na kike na kuanza ku-flirt naye.
Niliamua kujiridhishe kwa kumwomba namba ya simu, nae akanipa. Kuitest kwenye simu yangu, ika-display jina la shemeji yangu. Sikujali,,,nikaendelea ku-flit naye kimapenzi zaidi. Aliniomba namba ya simu, nikamwambia nitampa wakati muafaka ukifika,kwani alitaka tuwe tunaongea.
Huyu shemeji yangu amefikia hatua ni kuniambia kuwa hana mke na kuthibitisha hilo ameniomba aje aspend na mimi kuanzia Ijumaa kuu mpaka Jumatatu ambako Jumanne anatakiwa arudi kazini.
Yeye yuko Dar mi niko Moro, sasa wakuu nimkubalie afu akija nimtoe manundu au mnanishaurije?
Huyu shemeje yangu si atamletea ukimwi dada yangu???
KUna dume asiye cheat? labda awe mlokole au muislamu wala kumi tena anaye ogopa Mungu , ukisha kua sexually active ku cheat ni jambo la dakika tuu , so unapo olewa ujue hilo limo kwenye maisha ya ndoa yako.
Mtonye dadako mapema halafu mwambie akapime HIV mapema kama ana weza ili jamaa awe anampa kwa condom siku zote kwani siku zote ndio hazina usalama kama wengi wanavyo dhani.Halafu hata wewe pia , hiyo tabia ya kujipa majina ya kike kwenye chatroom inaweza kuwa ina ashiria mambo mengine , hapo utajitetea kuwa ulikua una mtrick shemejio, tutajuaje labda iku zote kwnye chatroom unajiita Sexy Laquisha? isije kua ndio yale yale ya Ki Ricky Martin
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.
Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na mara nikakuta jina la a.k.a la shemeji yangu likuwa ninatafuta mchumba au rafiki wa kike TU wa kuchati nae.
Mi nikajipa jina na kike na kuanza ku-flirt naye.
Niliamua kujiridhishe kwa kumwomba namba ya simu, nae akanipa. Kuitest kwenye simu yangu, ika-display jina la shemeji yangu. Sikujali,,,nikaendelea ku-flit naye kimapenzi zaidi. Aliniomba namba ya simu, nikamwambia nitampa wakati muafaka ukifika,kwani alitaka tuwe tunaongea.
Huyu shemeji yangu amefikia hatua ni kuniambia kuwa hana mke na kuthibitisha hilo ameniomba aje aspend na mimi kuanzia Ijumaa kuu mpaka Jumatatu ambako Jumanne anatakiwa arudi kazini.
Yeye yuko Dar mi niko Moro, sasa wakuu nimkubalie afu akija nimtoe manundu au mnanishaurije?
Huyu shemeje yangu si atamletea ukimwi dada yangu???
miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.
Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na mara nikakuta jina la a.k.a la shemeji yangu likuwa ninatafuta mchumba au rafiki wa kike tu wa kuchati nae.
Mi nikajipa jina na kike na kuanza ku-flirt naye.
Niliamua kujiridhishe kwa kumwomba namba ya simu, nae akanipa. Kuitest kwenye simu yangu, ika-display jina la shemeji yangu. Sikujali,,,nikaendelea ku-flit naye kimapenzi zaidi. Aliniomba namba ya simu, nikamwambia nitampa wakati muafaka ukifika,kwani alitaka tuwe tunaongea.
Huyu shemeji yangu amefikia hatua ni kuniambia kuwa hana mke na kuthibitisha hilo ameniomba aje aspend na mimi kuanzia ijumaa kuu mpaka jumatatu ambako jumanne anatakiwa arudi kazini.
Yeye yuko dar mi niko moro, sasa wakuu nimkubalie afu akija nimtoe manundu au mnanishaurije?
Huyu shemeje yangu si atamletea ukimwi dada yangu???
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.
Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na mara nikakuta jina la a.k.a la shemeji yangu likuwa ninatafuta mchumba au rafiki wa kike TU wa kuchati nae.
Mi nikajipa jina na kike na kuanza ku-flirt naye.
Niliamua kujiridhishe kwa kumwomba namba ya simu, nae akanipa. Kuitest kwenye simu yangu, ika-display jina la shemeji yangu. Sikujali,,,nikaendelea ku-flit naye kimapenzi zaidi. Aliniomba namba ya simu, nikamwambia nitampa wakati muafaka ukifika,kwani alitaka tuwe tunaongea.
Huyu shemeji yangu amefikia hatua ni kuniambia kuwa hana mke na kuthibitisha hilo ameniomba aje aspend na mimi kuanzia Ijumaa kuu mpaka Jumatatu ambako Jumanne anatakiwa arudi kazini.
Yeye yuko Dar mi niko Moro, sasa wakuu nimkubalie afu akija nimtoe manundu au mnanishaurije?
Huyu shemeje yangu si atamletea ukimwi dada yangu???
KUna dume asiye cheat? labda awe mlokole au muislamu wala kumi tena anaye ogopa Mungu , ukisha kua sexually active ku cheat ni jambo la dakika tuu , so unapo olewa ujue hilo limo kwenye maisha ya ndoa yako.
Mtonye dadako mapema halafu mwambie akapime HIV mapema kama ana weza ili jamaa awe anampa kwa condom siku zote kwani siku zote ndio hazina usalama kama wengi wanavyo dhani.
Halafu hata wewe pia , hiyo tabia ya kujipa majina ya kike kwenye chatroom inaweza kuwa ina ashiria mambo mengine , hapo utajitetea kuwa ulikua una mtrick shemejio, tutajuaje labda iku zote kwnye chatroom unajiita Sexy Laquisha? isije kua ndio yale yale ya Ki Ricky Martin
well said geof,hivi wewe ulianzajeanzaje kuanza kuingia net na kutafuta mwanaume mwenzio na kuchat nae??na ukaendelea mpaka no za simu na kila kitu halafu unakuja mlaumu shemejio hapa wakati wewe ndio ulieanza kumtega, kama ni mie hata ukimwambia dadaako akiniuliza ntamwambia" kakaako shoga aliniomba no ya simu toka aliponiona na wewe mara ya kwanza na mpaka leo anantongoza nimemkataa ndio ananigombanisha nawewe"ushamsindikiza dadaako koma kufuatilia maisha yake we vp?mheshimiwa kakajambazi,
kwanza nisamehe sana kama NITAKUKWAZA KWA USHAURI HUU.
lakini pia mimi naomba nikushauri tu......JIANGALIE SANA UNAKOELEKEA KISAIKOLOJIA.UNAWEZA KUTA UNA ELEMENT ZA KI-''BWABWA''
watch out
Mkuu kama ni kweli na ulimwengu huu wa ukimwi basi fahamu dada yako ni next victim. Cha msingi chati naye kwa simu zadi ili upate ushahidi tosha umpe live dada yako.Na siku ya miadi mbebe dada yako huku ukiwa umekaa naye kitako umweleze mkanda wote na afunge mdomo asimuulize. Staili iwe hivi, mchukue girlfriend wako kama huyu shem hamfahamu, kama anamfahamu chukua binti mnayefahamiana ambaye huyu shemeji hamfahamu, mkifika Dar mpe namba yako ya simu ili wapigiane wakutane, na kupanga mipango na endelea kuwasiliana na huyu binti hadi waingie hotelini kabisa. Wakiwa ndiyo wanajiandaa kwa ufirauni huyo binti awajulishe ili mungie pale kwa ushuhuda.Msifanye fujo, ni ustaarabu tu.Na hapo kibiblia ndoa imevunjika for the sake of your sister!!!
Kwa ukimwi huu nikihakikisha mkwe wangu anahatarisha maisha ya binti yangu sitaangalia makunyanzi.Nitamtoa huko!!!!! Acha arudi nyumbani, nitamtunza na kama ni mume mwingine atapata. Kwa nini ufe na tai shingoni. Nitavumilia tabia nyinginezo za binadamu lakini si uzinzi na umalaya!!
Kaka Jmbazi; kuamua kufuatilia ulikuwa umepanga nini kiwe hatima ya utambuzi wako; maji ushayavulia nguo; fanya ulichokusudia kwa sababu kwa kiasi fulani umevuka mipaka!
Nshasema ilikua ka ni coincedence, sa we ulitaka ninyamaze kimya??
afu mi ni mtu wa makunfuu =KakaJambaziHawezi mkuu,, yaani nimemzidi sana kimapana afu mi ni mtu wa makunfuu =KakaJambazi.
Hata kama ningekua dhaifu,, nina laki mbili za kuwapa vijana wa kazi.