Nimwokoaje Dada yangu??

Nimefikiria sana kuhusu hili. Mwishowe nimegundua story hii ni ya kutunga kama story zingine!
 
Hivi wewe unafanya kazi ya kuhakikisha shemeji zako hawatoki nje ya ndoa za dada zako? Sijaelewa hiyo curiosity yako imeanzia wapi.
Hivi ukimwambia dada yako, halafu wasipoachana itakuwaje? Nadhani si busara kwa mwanaume kufuatilia ndoa ya dada yake!
Wewe ushawahi ku'cheat'?

Imetokea by a chance tu,, nilukuwa napitia mitandao ya online dating ndo nikakutana nae.
Ivi ukimwana dada yako anadate na mtu mwenye ukimwi ambaye unamfahamu kabisa, utauchuna tu,,,common man!! you cant say be serious.
 
jamani naona sasa mambo yamegeuka kwa kasi ya ajabu na hiyo ndoa bado changa
Labda shemeji ameshindwa kuridhika na dadaako
Nimekosa la kusema hapa

sidhani FL1, wiki mbili tu mtu atasemaje hajaridhika, kama kuna kutokuridhika kulikuwepo kabla ya ndoa ila aliingia tu kichwa kichwa, nadhani huyo ana hulka tu ya kucheat yaani hamna sababu, kama mlezi wa heroin vile

Jambazi. mi nakushauri ukutane naye halafu umweleze ukweli wote, halafu uchukue hamsini zako, usiongelee tena hilo suala baada ya hapo, kama hata kuwa mwangalifu basi...sikio la kufa...
 
mmmmh jamani jamani mbona kila sehemu kuna vilio tu!
hizi ndoa kwani wanaume mlilazimishwa?
hawezi kusema mkewe hamridhishi wakati ndo wkanza wana miezi kadhaa, wanatakiwa watatue matatizo yao sio kukimbilia wanawake miji mengine
shame on him ......and shame on wanaume wote wenye tabia za hivi

wanadai eti wanadumisha mila...
 
KUna dume asiye cheat? labda awe mlokole au muislamu wala kumi tena anaye ogopa Mungu , ukisha kua sexually active ku cheat ni jambo la dakika tuu , so unapo olewa ujue hilo limo kwenye maisha ya ndoa yako.
Mtonye dadako mapema halafu mwambie akapime HIV mapema kama ana weza ili jamaa awe anampa kwa condom siku zote kwani siku zote ndio hazina usalama kama wengi wanavyo dhani.
Halafu hata wewe pia , hiyo tabia ya kujipa majina ya kike kwenye chatroom inaweza kuwa ina ashiria mambo mengine , hapo utajitetea kuwa ulikua una mtrick shemejio, tutajuaje labda iku zote kwnye chatroom unajiita Sexy Laquisha? isije kua ndio yale yale ya Ki Ricky Martin
 
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.

Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na mara nikakuta jina la a.k.a la shemeji yangu likuwa ninatafuta mchumba au rafiki wa kike TU wa kuchati nae.
Mi nikajipa jina na kike na kuanza ku-flirt naye.
Niliamua kujiridhishe kwa kumwomba namba ya simu, nae akanipa. Kuitest kwenye simu yangu, ika-display jina la shemeji yangu. Sikujali,,,nikaendelea ku-flit naye kimapenzi zaidi. Aliniomba namba ya simu, nikamwambia nitampa wakati muafaka ukifika,kwani alitaka tuwe tunaongea.

Huyu shemeji yangu amefikia hatua ni kuniambia kuwa hana mke na kuthibitisha hilo ameniomba aje aspend na mimi kuanzia Ijumaa kuu mpaka Jumatatu ambako Jumanne anatakiwa arudi kazini.
Yeye yuko Dar mi niko Moro, sasa wakuu nimkubalie afu akija nimtoe manundu au mnanishaurije?
Huyu shemeje yangu si atamletea ukimwi dada yangu???

This is soooo gaaaaay..
 
KUna dume asiye cheat? labda awe mlokole au muislamu wala kumi tena anaye ogopa Mungu , ukisha kua sexually active ku cheat ni jambo la dakika tuu , so unapo olewa ujue hilo limo kwenye maisha ya ndoa yako.
Mtonye dadako mapema halafu mwambie akapime HIV mapema kama ana weza ili jamaa awe anampa kwa condom siku zote kwani siku zote ndio hazina usalama kama wengi wanavyo dhani.Halafu hata wewe pia , hiyo tabia ya kujipa majina ya kike kwenye chatroom inaweza kuwa ina ashiria mambo mengine , hapo utajitetea kuwa ulikua una mtrick shemejio, tutajuaje labda iku zote kwnye chatroom unajiita Sexy Laquisha? isije kua ndio yale yale ya Ki Ricky Martin

Mi sijaelewa hapo kwenye red. Naomba ufafanuzi.
 
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.

Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na mara nikakuta jina la a.k.a la shemeji yangu likuwa ninatafuta mchumba au rafiki wa kike TU wa kuchati nae.
Mi nikajipa jina na kike na kuanza ku-flirt naye.
Niliamua kujiridhishe kwa kumwomba namba ya simu, nae akanipa. Kuitest kwenye simu yangu, ika-display jina la shemeji yangu. Sikujali,,,nikaendelea ku-flit naye kimapenzi zaidi. Aliniomba namba ya simu, nikamwambia nitampa wakati muafaka ukifika,kwani alitaka tuwe tunaongea.

Huyu shemeji yangu amefikia hatua ni kuniambia kuwa hana mke na kuthibitisha hilo ameniomba aje aspend na mimi kuanzia Ijumaa kuu mpaka Jumatatu ambako Jumanne anatakiwa arudi kazini.
Yeye yuko Dar mi niko Moro, sasa wakuu nimkubalie afu akija nimtoe manundu au mnanishaurije?
Huyu shemeje yangu si atamletea ukimwi dada yangu???

Mkuu kama ni kweli na ulimwengu huu wa ukimwi basi fahamu dada yako ni next victim. Cha msingi chati naye kwa simu zadi ili upate ushahidi tosha umpe live dada yako.Na siku ya miadi mbebe dada yako huku ukiwa umekaa naye kitako umweleze mkanda wote na afunge mdomo asimuulize. Staili iwe hivi, mchukue girlfriend wako kama huyu shem hamfahamu, kama anamfahamu chukua binti mnayefahamiana ambaye huyu shemeji hamfahamu, mkifika Dar mpe namba yako ya simu ili wapigiane wakutane, na kupanga mipango na endelea kuwasiliana na huyu binti hadi waingie hotelini kabisa. Wakiwa ndiyo wanajiandaa kwa ufirauni huyo binti awajulishe ili mungie pale kwa ushuhuda.Msifanye fujo, ni ustaarabu tu.Na hapo kibiblia ndoa imevunjika for the sake of your sister!!!

Kwa ukimwi huu nikihakikisha mkwe wangu anahatarisha maisha ya binti yangu sitaangalia makunyanzi.Nitamtoa huko!!!!! Acha arudi nyumbani, nitamtunza na kama ni mume mwingine atapata. Kwa nini ufe na tai shingoni. Nitavumilia tabia nyinginezo za binadamu lakini si uzinzi na umalaya!!
 
Very simple,mpange dada yako nae aje morogoro kisha muambie huyo shemeji yako mahali mtakapokutana ikiwezekana iwe hotelini chumbani,dada yako akifika muingize kwenye hicho chumba kisha muelekeze shemeji yako chumba utakachokuwa ambacho ndo utakapokuwa umemuweka dada yako akiingia tu akutane na mkewe hapo itakuwa mwisho wa umalaya wake.Namna ya kufanya dada yako awahi hiyo appointment jamaa akifika moro mwambie umesafiri kidogo kwenda wilaya ya jiran na baada ya muda utakuwa umerudi ili kumpa dada yako nafasi ya kufika moro,akifika mpe story in short then muingize chumbani.ONYO angalia uwezo wa dada yako kukabiliana na jambo kama hilo kama unaona hawezi dont do that maana wanawake wengine hawawezi kubeba mtihani mzito hivyo.
 
Shemeji yako ana pepo wa ngono.
Hamna namna nzuri ya kumuumbua kama kwenye kuchati.
Chatini kama kawaida yenu halafu mwambie wewe unajua kuwa ni shemeji kwa dada yangu...
Unampa ukweli wake, ataacha nyege za kuku.
miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.

Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na mara nikakuta jina la a.k.a la shemeji yangu likuwa ninatafuta mchumba au rafiki wa kike tu wa kuchati nae.
Mi nikajipa jina na kike na kuanza ku-flirt naye.
Niliamua kujiridhishe kwa kumwomba namba ya simu, nae akanipa. Kuitest kwenye simu yangu, ika-display jina la shemeji yangu. Sikujali,,,nikaendelea ku-flit naye kimapenzi zaidi. Aliniomba namba ya simu, nikamwambia nitampa wakati muafaka ukifika,kwani alitaka tuwe tunaongea.

Huyu shemeji yangu amefikia hatua ni kuniambia kuwa hana mke na kuthibitisha hilo ameniomba aje aspend na mimi kuanzia ijumaa kuu mpaka jumatatu ambako jumanne anatakiwa arudi kazini.
Yeye yuko dar mi niko moro, sasa wakuu nimkubalie afu akija nimtoe manundu au mnanishaurije?
Huyu shemeje yangu si atamletea ukimwi dada yangu???
 
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.

Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na mara nikakuta jina la a.k.a la shemeji yangu likuwa ninatafuta mchumba au rafiki wa kike TU wa kuchati nae.
Mi nikajipa jina na kike na kuanza ku-flirt naye.
Niliamua kujiridhishe kwa kumwomba namba ya simu, nae akanipa. Kuitest kwenye simu yangu, ika-display jina la shemeji yangu. Sikujali,,,nikaendelea ku-flit naye kimapenzi zaidi. Aliniomba namba ya simu, nikamwambia nitampa wakati muafaka ukifika,kwani alitaka tuwe tunaongea.

Huyu shemeji yangu amefikia hatua ni kuniambia kuwa hana mke na kuthibitisha hilo ameniomba aje aspend na mimi kuanzia Ijumaa kuu mpaka Jumatatu ambako Jumanne anatakiwa arudi kazini.
Yeye yuko Dar mi niko Moro, sasa wakuu nimkubalie afu akija nimtoe manundu au mnanishaurije?
Huyu shemeje yangu si atamletea ukimwi dada yangu???

Which is worse….knowing something and wishing you hadn’t or knowing nothing and wishing you had?
 
KUna dume asiye cheat? labda awe mlokole au muislamu wala kumi tena anaye ogopa Mungu , ukisha kua sexually active ku cheat ni jambo la dakika tuu , so unapo olewa ujue hilo limo kwenye maisha ya ndoa yako.
Mtonye dadako mapema halafu mwambie akapime HIV mapema kama ana weza ili jamaa awe anampa kwa condom siku zote kwani siku zote ndio hazina usalama kama wengi wanavyo dhani.
Halafu hata wewe pia , hiyo tabia ya kujipa majina ya kike kwenye chatroom inaweza kuwa ina ashiria mambo mengine , hapo utajitetea kuwa ulikua una mtrick shemejio, tutajuaje labda iku zote kwnye chatroom unajiita Sexy Laquisha? isije kua ndio yale yale ya Ki Ricky Martin

Swali la Msingi tu

Does the same goes to your woman?:mad:
 
Kaka Jmbazi; kuamua kufuatilia ulikuwa umepanga nini kiwe hatima ya utambuzi wako; maji ushayavulia nguo; fanya ulichokusudia kwa sababu kwa kiasi fulani umevuka mipaka!
 
mheshimiwa kakajambazi,
kwanza nisamehe sana kama NITAKUKWAZA KWA USHAURI HUU.

lakini pia mimi naomba nikushauri tu......JIANGALIE SANA UNAKOELEKEA KISAIKOLOJIA.UNAWEZA KUTA UNA ELEMENT ZA KI-''BWABWA''

watch out
well said geof,hivi wewe ulianzajeanzaje kuanza kuingia net na kutafuta mwanaume mwenzio na kuchat nae??na ukaendelea mpaka no za simu na kila kitu halafu unakuja mlaumu shemejio hapa wakati wewe ndio ulieanza kumtega, kama ni mie hata ukimwambia dadaako akiniuliza ntamwambia" kakaako shoga aliniomba no ya simu toka aliponiona na wewe mara ya kwanza na mpaka leo anantongoza nimemkataa ndio ananigombanisha nawewe"ushamsindikiza dadaako koma kufuatilia maisha yake we vp:mad:?
 
Mkuu kama ni kweli na ulimwengu huu wa ukimwi basi fahamu dada yako ni next victim. Cha msingi chati naye kwa simu zadi ili upate ushahidi tosha umpe live dada yako.Na siku ya miadi mbebe dada yako huku ukiwa umekaa naye kitako umweleze mkanda wote na afunge mdomo asimuulize. Staili iwe hivi, mchukue girlfriend wako kama huyu shem hamfahamu, kama anamfahamu chukua binti mnayefahamiana ambaye huyu shemeji hamfahamu, mkifika Dar mpe namba yako ya simu ili wapigiane wakutane, na kupanga mipango na endelea kuwasiliana na huyu binti hadi waingie hotelini kabisa. Wakiwa ndiyo wanajiandaa kwa ufirauni huyo binti awajulishe ili mungie pale kwa ushuhuda.Msifanye fujo, ni ustaarabu tu.Na hapo kibiblia ndoa imevunjika for the sake of your sister!!!

Kwa ukimwi huu nikihakikisha mkwe wangu anahatarisha maisha ya binti yangu sitaangalia makunyanzi.Nitamtoa huko!!!!! Acha arudi nyumbani, nitamtunza na kama ni mume mwingine atapata. Kwa nini ufe na tai shingoni. Nitavumilia tabia nyinginezo za binadamu lakini si uzinzi na umalaya!!

Thax mkuu,, ushauri wako umeenda vidato.
 
Kaka Jmbazi; kuamua kufuatilia ulikuwa umepanga nini kiwe hatima ya utambuzi wako; maji ushayavulia nguo; fanya ulichokusudia kwa sababu kwa kiasi fulani umevuka mipaka!

Nshasema ilikua ka ni coincedence, sa we ulitaka ninyamaze kimya??
 
Ok!

Nadhania ulitakiwa kuhamishia hiyo coincidence kwa Sista wako kama naye nimtu wa kuchat angeweza kuimaliza vizuri kwa uamuzi wowote ambao angeuchukua!

Ndio maana unapata kushida kuamua hili unajua kwa nini; hukuwepo siku wanapotakana mpaka umekuja kumwozesha! Hili katu halimalizwi na mtu wa tatu na ndio maana wadau wengine wanakusema mbaya hapa simply coz it Just for the two of them! You have no right! Whatsoever na ni rahisi kugeuziwa kibao!

Sikushauri uandae fumanizi wewe; huko ni kumtusi dada yako! maadam umefika hapa; mpe facts zote sista bila kumshinikiza maamuzi then mwache yeye aendelee!
 
Jamani ndoa za siku hizi?au amemoa dada yako kwa vigezo lakini sio mapenzi?mbona hivi?thi is too much.
 
huyo dawa yako, kwa kumsaidia dada yako panga date naye kama wewe uende Dar mwambie akutumie nauli au la mwambie aje moro kutana naye kama mtakavyo kubaliana naye na hakika akikutana na wewe ndiye ulikuwa demu alivyofikiri hakika anaweza kuzimia na kuacha mara 1 hiyo tabia yake. usimwambie dada yako lakini. mshenzi huyo anatongoza mwanamke kwenye mtandao wakati anandoa? kama toto litaleta ukimwi hilo.pole sana
 
Back
Top Bottom