Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

Lakini nilisoma kuwa Mkono Advocates ndio walioitetetea benki Kuu katika kesi ile, wakati Mabere Marandu na Ringo Tenga walimtetea Vhalambia. Je kuna kosa gani kusema kuwa ni kweli aliitetea BoT na malipo aliyopewa yalikuwa ni chini ya makubaliano baina ya kampuni yake na BoT?

Kwanza nilikuwa sijui kama huyo Valambia alishafariki, je kuna anayejua alifariki kwa kitu gani?
 
Naanza kuhisi kuwa serikali imekubali kuamka na kujitetea in ALL fronts na kwenye legal front hakuna ambaye angefanya hivyo isipokuwa Mkono.
 
Nimesoma hapa kuwa katika kesi ile BoT Vs Valambia, mawakili wa BoT walikuwa ni Curthbert Tenga and Rosan Mwambo wakati Valambia alikwakilishwa na Mabere Marando wa Maira and Company Advocates.

Kwa hiyo inawezekana kuwa Mkono hakuhusika na kesi ile ingawa aliwahi kuiwakilisha BoT katik mambo mengine. Nakumbuka miaka hiyo ya nyuma kuwaona Mkono, Marando na Tenga katika picha ya pamoja pale nje ya mahakama wakati swala la Valambia linaendelea.
 
Hivi ni vita vya tembo, kulipiwa na nyasi yaani sisi wananchi, Mkono aliyemtoa rumande, Blaza Dito, kwa kesi ya mauaji na mpaka leo haijatajwa tena,

Leo anapotishia kulishitaki gazeti la Mengi ili alipwe, gues nani atakaye pay the bill? Ni sisi walipa kodi, yaani wananchi. Maana Tajiri Mengi, ana insurance covarage tena kubwa sana ya kulinda makampuni yake, kisheria zetu,

kwa hiyo kesi itakuwa settled nje ya mahakama, na Mkono atalipwa for damages in terms of at least billions, ni sisi wananchi ndio tutakaolipa hizo hela zetu ndogo za kodi, through our government's insurance companies!

Kama anvyosema Mkandara, Wadanganyika!
 
this time he made a very wrong move... na Nyani yes.. that is all they got kwenye legal front inayoweza kuingizia mapesa...
 
Hivi unajua kuwa kwenye hiyo move kuna BM pia ambaye ana machungu sana na Mengi sasa hivi kwa kumchimba mambo yake hivi karibuni, mzee wangu usione vinaelea bro!

Alisikikia hivi karibuni akiapa kuwa atawafundisha adabu hao Kulikoni/Thisday! nanawaonea huruma sana yatakayowajia hivi karibuni huu ni mwanzo as of data!
 
Mzee Es,

Worry a little. This Day na kulikoni wapo makini kaka..... Behind them kuna watu ambao ni very powerful.

FD
 
You know what i can't stand, is this people who like double standard. Freedom of press, author gather the facts and ideas he have at that point and then publish. Because Mkono has the big law firm which is corrupted from Top to the bottom, now he want to give headache this poor journalist.

You know what? This people who love to use the political and government influence to scare innocent people are always killers of development.
Let me ask Mr Mkono, if you real innocent then why Mwalimu JK and you never get along?

Why you left Tanzania in those day to Europe, eeeeeehhh and how about your school scandals, we can blow this staff up, if you want to play dirty.
 
Hivi unajua kuwa kwenye hiyo move kuna BM pia ambaye ana machungu sana na Mengi sasa hivi kwa kumchimba mambo yake hivi karibuni, mzee wangu usione vinaelea bro!

Alisikikia hivi karibuni akiapa kuwa atawafundisha adabu hao Kulikoni/Thisday! nanawaonea huruma sana yatakayowajia hivi karibuni huu ni mwanzo as of data!

Nadhani wakati wa kutishana umekwisha! Bahati mbaya sana kwa sasa yeye ni raia wa kawadia tu na Mchungaji Mtikila anataka kutinga Mahakami akitaka Marais wastaafu wafutiwe kinga ya kutoweza kushitakiwa. My prayer ni kuwa ombi hili likubaliwe maana linaweza kupunguza idadi ya Wanasiasa wanaotaka kuingia Ikulu.
 
Hivi unajua kuwa kwenye hiyo move kuna BM pia ambaye ana machungu sana na Mengi sasa hivi kwa kumchimba mambo yake hivi karibuni, mzee wangu usione vinaelea bro!

Alisikikia hivi karibuni akiapa kuwa atawafundisha adabu hao Kulikoni/Thisday! nanawaonea huruma sana yatakayowajia hivi karibuni huu ni mwanzo as of data!

Mambo gani yatakayowakuta? lakini nadhani sheria itafuata mkondo wake na sheria nadhani itashinda.
 
Hapana nilikuwa najaribu kuwa realistic tu, maana tulisema kule nyuma kuwa Mkono hawezi kumtoa Blaza Dito rumande kwa kesi ya mauaji ambayo raia walishuudia kwa macho, akiua kwa bastola,

sio tu kwamba Mkono alimtoa Blaza Dito, rumande, bali mpaka leo kesi haijatajwa tena, na tulisema kuwa kuna waliomtuma Mkono kuchukua kesi ya Dito,

kwenye hili hatukuwa tunatisha ila tunajaribu kuwa realistic kufuatia the history ya Mkono na "kesi zake"! na deal zake kwa ujumla, sijawahi kusikia jamaa akishindwa kesi bongo, mpaka nje ya nchi yetu!
 
...nadhani kesi hii itakuwa tafauti kidogo!

...kuna mtu kasema kuna heavy weights behind hizo papers,mi nasema inawezekana,lakini swali ni je?hao ni wakina nani?

...let me tell u this,hizo paper zina-dare sana,halafu huwa na facts nzito,sasa,hizo facts huwa wanazipata wapi?

...ukitazama,inaonyesha kama wana mtandao wao vile!sasa,huo mtandao uko-backed na nani?

...it'll be interesting to watch and hear things develops!for real!
 
Ok Guyz, nitawajibu kama ifuatavyo:

Asilimia kubwa ya waandishi wa hayo magazeti ni Usalama wa Taifa. Ndio maana ukichunguza utaona kuwa ukianza kugombana nayo skendo zako zinaibuliwa moja baada ya moja. Yes kuna wanamtandao behind hayo magazeti na pia kuna viongozi wa serikali wakubwa tu wanaotumia hayo magazeti kusaidia kushafisha viongozi wasio waadilifu. Hawa jamaa hawachunguzi kihivyo bali wana letewa habari na evidence zote ndipo wanapoandika.

Kumbukeni kabla ya kuanzishwa hayo magazeti Mh Mengi alienda wapi na kuonana na nani mitaa ya Kivukoni!!!

FD
 
Hili la usalama wa taifa mimi aliingii akilini,ila bongo mchezo huko hivi watu ambao watakupa information ni wale messenger kwa kuwapa kitu kidogo tu. kinachotakiwa ni wewe kuwa na huwakika tu wapi hizo taarifa unazitaka ,hawa jamaa watakutolea kila kitu unachotaka ilimradi tu umemkatia chake.

Pia tunaposema kuna watu wazito nyuma yao,nalo pia linatia shaka, chukua mfano mdogo tu hivi mkjj analindwa na nani?

Watanzania huwa hatujianimi kusimama na miguu yetu wenyewe mpaka tushikwe mkono na huu ni udhaifu mkubwa mno ambao umetufanya mpaka sasa tuwe masikini wa fikra.
 
Back
Top Bottom