Nimfanye nn shemeji yangu huyu?

nimfanyeje shemeji yangu maana yeye ndiye aliyekwenda kumuambia dada yake
FUKUZA DADA YAKE Ili ajue ubaya wa umbeya! na wewe ukome,ila hapo unaposema unapigwa inanitisha kabisa du!kwa hiy6o mzee unachezea kichapo??
 
Habari zenu wanajamvi natumaini ni wazima wa afya. Jamani leo yamenikuta mwenzenu nikiwa namuaga kwa d*nda zito My nyumba ndogo wangu shemeji yangu wa kiume akaniona na kuniambia ya kuwa sio vizuri ninachokifanya na kuondoka zake na kwenda kumuambia dada yake ya kuwa ameniona,bac kidume kufika nyumbani nikakutana na kesi,mie nikakataa kuwa hakuniona na wala cna demu nje,ikabidi aitwe na kuulizwa anakubali kaniona na mie nakataa ya kuwa hakuniona na wala ckufanya hiyo kitu,mpaka sasa sijalala napigiwa kelele natishwa,nafinywa,napigwa na mito yaani vurugu humu ndani amani ishaanza kutoweka na My wife wangu kawa mkali ajabu. Je? Nimfanyeje shemeji yangu huyu.

Hakuna cha "nimfanyeje" achana na umalaya. Hayo mambo yashapitwa na wakati. Kwanza hicho siyo kitu cha kuja kujisifia hapa hadharani, ilibidi uone aibu kwa ujinga uliufanya. Kwako wewe naona kama unajisikia fahari kwa upuuzi ulioufanya na ndio maana unadhani huyo shemeji yako amekosea na wewe uko sahihi. Ukweli ni kwamba umechemka. Siku nyingine usilete upuuzi kama huo hapa jamvini. NI AIBU.
 
Habari zenu wanajamvi natumaini ni wazima wa afya. Jamani leo yamenikuta mwenzenu nikiwa namuaga kwa d*nda zito My nyumba ndogo wangu shemeji yangu wa kiume akaniona na kuniambia ya kuwa sio vizuri ninachokifanya na kuondoka zake na kwenda kumuambia dada yake ya kuwa ameniona,bac kidume kufika nyumbani nikakutana na kesi,mie nikakataa kuwa hakuniona na wala cna demu nje,ikabidi aitwe na kuulizwa anakubali kaniona na mie nakataa ya kuwa hakuniona na wala ckufanya hiyo kitu,mpaka sasa sijalala napigiwa kelele natishwa,nafinywa,napigwa na mito yaani vurugu humu ndani amani ishaanza kutoweka na My wife wangu kawa mkali ajabu. Je? Nimfanyeje shemeji yangu huyu.
Huyo mke wako anakupenda kweli. Kosa lote hilo bado unapigwa mito na kufinywa? Mwengine angelikupiga panga na kufyeka fimbo yote. Mwombe radhi mkewako na uhakikishe hurudii tena. Siku hizi imekuwa sifa kwa wanaume kwenda nyumba ndogo na baadaye bila aibu tunajisifu hadharani. Enzi za mababu wetu, wewe kama mtoto wao wangekutandika viboka hadharani hata kama una miaka 50. Tubadilike vijana. Mwanamume sio kifimbo tu bali kuwa na heshima katika ndoa
 
Badala ya kuuliza jinsi ya kuacha uhuni unauliza umefanyeje shemeji?Acha uhuni ili shemeji asikusumbue!
 
Mkuu mi nishaona labda jamaa hakupendi

Mngekuwa close friends sidhani kama angeweza kufanya hiyo mambo.

kaa nae karibu make sure he becomes your close friend ili na wewe ujue siri zake.
 
Habari zenu wanajamvi natumaini ni wazima wa afya. Jamani leo yamenikuta mwenzenu nikiwa namuaga kwa d*nda zito My nyumba ndogo wangu shemeji yangu wa kiume akaniona na kuniambia ya kuwa sio vizuri ninachokifanya na kuondoka zake na kwenda kumuambia dada yake ya kuwa ameniona,bac kidume kufika nyumbani nikakutana na kesi,mie nikakataa kuwa hakuniona na wala cna demu nje,ikabidi aitwe na kuulizwa anakubali kaniona na mie nakataa ya kuwa hakuniona na wala ckufanya hiyo kitu,mpaka sasa sijalala napigiwa kelele natishwa,nafinywa,napigwa na mito yaani vurugu humu ndani amani ishaanza kutoweka na My wife wangu kawa mkali ajabu. Je? Nimfanyeje shemeji yangu huyu.

...aaaah, ushaharibu hapo unaposema 'hakukuona!'
Kataa kitendo, -HUKUFANYA!,' flat and square.
...hutashinda kesi kukataa ushahidi wa mtu!
 
Habari zenu wanajamvi natumaini ni wazima wa afya. Jamani leo yamenikuta mwenzenu nikiwa namuaga kwa d*nda zito My nyumba ndogo wangu shemeji yangu wa kiume akaniona na kuniambia ya kuwa sio vizuri ninachokifanya na kuondoka zake na kwenda kumuambia dada yake ya kuwa ameniona,bac kidume kufika nyumbani nikakutana na kesi,mie nikakataa kuwa hakuniona na wala cna demu nje,ikabidi aitwe na kuulizwa anakubali kaniona na mie nakataa ya kuwa hakuniona na wala ckufanya hiyo kitu,mpaka sasa sijalala napigiwa kelele natishwa,nafinywa,napigwa na mito yaani vurugu humu ndani amani ishaanza kutoweka na My wife wangu kawa mkali ajabu. Je? Nimfanyeje shemeji yangu huyu.

Unabahati sana unapigwa na mito, ile michezo tunayocheza tukiwa faragha!!!! Angekupasulia sufuria kichwani.
 
Mpongeze kwa kitimoto, soda au beer au zawadi yoyote ye gharama maana anakupenda sana!! au kama vipi mpe dada yako nae afaidi...inauma eeeh! bac na yeye pia aliumia!!
 
Washa washa unastahili kumwomba shemejio radhi kwanza alafu ndani ya masaa 72 uwe umeshaachana na nyumba ndogo na mzibe mkeo mdomo kwa kumwonesha pendo la enzi zenu!
 
Habari zenu wanajamvi natumaini ni wazima wa afya. Jamani leo yamenikuta mwenzenu nikiwa namuaga kwa d*nda zito My nyumba ndogo wangu shemeji yangu wa kiume akaniona na kuniambia ya kuwa sio vizuri ninachokifanya na kuondoka zake na kwenda kumuambia dada yake ya kuwa ameniona,bac kidume kufika nyumbani nikakutana na kesi,mie nikakataa kuwa hakuniona na wala cna demu nje,ikabidi aitwe na kuulizwa anakubali kaniona na mie nakataa ya kuwa hakuniona na wala ckufanya hiyo kitu,mpaka sasa sijalala napigiwa kelele natishwa,nafinywa,napigwa na mito yaani vurugu humu ndani amani ishaanza kutoweka na My wife wangu kawa mkali ajabu. Je? Nimfanyeje shemeji yangu huyu.

Wewe ndo unastahili adhabu,usimfanye lolote,unajua MUNGU anapomtafuta mtu hutumia njia yoyote.MUNGU anakupeanda,hapendi uangamie,na ndio mana ameyaweka wazi mambo yako,na huenda umekuwa ukiyafanya mda mrefu.nakushauri,Mwambie ukweli mkeo,tubu kwa kupitia dini yako,achana na tabia zinazomchukiza MUNGU kama hizo,anza maisha mapya na mkeo.ukimshilikisha MUNGU yote yanawezekana.kwa nini uteseke na MUNGU yupo?
 
shame on you! utakua na matatizo ya akili kama bado unajiona una haki ya kufanya uliyokua ukiyafanya. I wonder how you dare to come to ask for an advice ........ shame on you once again..
 
Habari zenu wanajamvi natumaini ni wazima wa afya. Jamani leo yamenikuta mwenzenu nikiwa namuaga kwa d*nda zito My nyumba ndogo wangu shemeji yangu wa kiume akaniona na kuniambia ya kuwa sio vizuri ninachokifanya na kuondoka zake na kwenda kumuambia dada yake ya kuwa ameniona,bac kidume kufika nyumbani nikakutana na kesi,mie nikakataa kuwa hakuniona na wala cna demu nje,ikabidi aitwe na kuulizwa anakubali kaniona na mie nakataa ya kuwa hakuniona na wala ckufanya hiyo kitu,mpaka sasa sijalala napigiwa kelele natishwa,nafinywa,napigwa na mito yaani vurugu humu ndani amani ishaanza kutoweka na My wife wangu kawa mkali ajabu. Je? Nimfanyeje shemeji yangu huyu.
Bwana shemeji alifanya la msingi kuweka wazi, lakini alipaswa baada ya hapo akili imcheze aanze mbele akahangaike na ya nyumbani kwake maana kuishi kwa dada tayari kumeshaingia dosari
 
we endelea kukataa kabisa mbele ya mkeo,lakini uache hiyo tabia na kaa na shemejio ongea nae kiume mwambie ulitetereka tu kama mwanadamu na hutarudia tena inatosha.
 
kati ya watu wap.umbavu duniani, wewe nawe ni mmoja wapo...akili yako ni ya matope....kikombe cha babu kinawadanganya, subiri siku zako ziko karibu...utalia na kusaga meno.
 
Habari zenu wanajamvi natumaini ni wazima wa afya. Jamani leo yamenikuta mwenzenu nikiwa namuaga kwa d*nda zito My nyumba ndogo wangu shemeji yangu wa kiume akaniona na kuniambia ya kuwa sio vizuri ninachokifanya na kuondoka zake na kwenda kumuambia dada yake ya kuwa ameniona,bac kidume kufika nyumbani nikakutana na kesi,mie nikakataa kuwa hakuniona na wala cna demu nje,ikabidi aitwe na kuulizwa anakubali kaniona na mie nakataa ya kuwa hakuniona na wala ckufanya hiyo kitu,mpaka sasa sijalala napigiwa kelele natishwa,nafinywa,napigwa na mito yaani vurugu humu ndani amani ishaanza kutoweka na My wife wangu kawa mkali ajabu. Je? Nimfanyeje shemeji yangu huyu.

Mshukuru sana huyo shemeji yako kwani bila shaka utaacha huo mchezo, huoni amekuwa msaada kwako kama ilikuwa vigumu kuacha sasa utaweza ili kuwe na amani nyumbani, au hupendi amani? basi endelea.......
 
Excellent & visionary answer! Tatizo la huyu mkosaji ni UPEO MDOGO (ofkozi ni tatizo la Kitaifa)
 
Dena siku zote naheshimu michango yako lakin leo sijakuelewa kabisa na siamini kama hayo ni mawazo yako kweli??
Huyo shemeji yake kosa lake nini? Kumwepusha dada yake na maradhi ndiyo kosa??, ulitaka amwache tu ili dada yake aletewe vvu???, hebu fikirikia ingekuwa wewe ndiyo dada yake ina maana ungemlaumu kaka yako amekwambia knn amekwambia??? Au wewe ni jamii ya wale wenye masikio yasiyopenda kusikia mabaya bali yanapenda kusikia mazuri tu......
Ukiambiwa shukuru na fanya jitihada ya kuthibitisha kama ni ukweli au si kweli.

Kiukweli huyu shemeji mi namwona wa maana sana tena anawapenda na kuwajali dada na mumewe, ndiyo maana hakuruhusu huo ujinga wa nyumba ndogo ya shemeji yake,,,,,

mume wa dada yake amwombe msamaha mkewe na huyo shemeji yake,,na akiri kosa asipokiri kosa ina maana ataendelea kutafuta vvu nje ya ndoa yake...,bravo!! Shemeji wembe huo huo mpaka huyo mume wa dadko aache kusaka vvu mitaani .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom