Nimfanyaje huyu dada

mbona jibu unalo tayari?
wewe unakwenda kununua service kila mara
hivyo mdada anajua wewe unaomshiko wa nguvu
hivyo anataka akunase msaidiane kula huo mshiko.

kama huamini basi nawe siku mmoja nenda kisha umsifu
kama alivyokusifia umwambie "amependeza kama anakuja
kuolewa nawe" uone jinsi unavyotakiwa ku-react ukiambiwa hivyo-
 
Na tukinyamaza wanadai tunaringa jamani

Yaani mara nyingi mdada akikupenda ni ngumu kukutamkia kama mwanaume, vitendo vinaongea kaka.... TAKE CARE WHILE ASSESSING THAT.....
Angalia anaweza akawa changu au ni rafiki mzuri.... TAKE TIME KUMCHUNGUZA KAKA KAMA UKO SINGLE,,,, Kaka married achana nae maana asije kukuharibia ndoa yako babu wee!!!!!
 
Umesema yupo kwenye sehemu ya kutoa service lakini hujasema ni service ya aina gani kuna ofisi nyingi hutoa huduma zinazotolewa na wengi ili kuvuta wateja huongea nao vizuri na hata kutaniana nao usije umeelewa vibaya.Na pia hiyo service isije kuwa massage au wale wakinadada wa scrub saloon,wale kazi zao zinalazimu kuongea/cheka/taniana na wateja ni ofisi ya aina gani ? sijauliza jina la ofisi.
 
Kama unaye mke please mpotezee huyo. Ukijifanya KIBOLO DINDA utaona kila siku wapo wanawake wengi sana wa aina hiyo.
 
"Na tukinyamaza wanadai tunaringa jamani"

There are several possibilities:
1. Kama ni "pangapanga," basi huyo akikuona tu mwili umamuwasha na anatamani ukam-do.
2. Kama amekuona unaweza kuwa na mshiko wa nguvu, basi anaforce namna ya kukupata ili awe karibu nawe akukamue.
3. Kama amekuzimia, basi huyo kakuzimia kikwelikweli. Hadi mdada aseme kuwa anakutaka lazima atakuwa amekuzimia kwa sana tu. Kawaida yao huwa hawasemi, wanasubiri kuanzwa.
Ushauri: M-date/mtoe nje (lunch, dinner, kuangalia mechi, drinks etc) several times uone mwelekeo wake ukoje.
Ushauri bomba!!!
 
Umesema yupo kwenye sehemu ya kutoa service lakini hujasema ni service ya aina gani kuna ofisi nyingi hutoa huduma zinazotolewa na wengi ili kuvuta wateja huongea nao vizuri na hata kutaniana nao usije umeelewa vibaya.Na pia hiyo service isije kuwa massage au wale wakinadada wa scrub saloon,wale kazi zao zinalazimu kuongea/cheka/taniana na wateja ni ofisi ya aina gani ? sijauliza jina la ofisi.
.
Najua mambo hayo, hadi nimeuliza kuna kitu cha tofauti, wanawake wanapenda kwa moyo, ndo maana si rahisi kukusahau.
 
Kwanza kwa kuweka kwake loud speaker inaonesha ni mpuuzi sana; na kukuonyesha kuwa soko lake liko juu sana. Angekuwa ame-hold simu kwa ajili yako sawa lakini kuweka loud speaker - that is bullshit. Je, hiyo loud speaker sio recorded kweli? Wewe umeoa? Mwambie unataka kumshughulikia na sio kwa ajili ya life time relationship. Je, ni wangapi anawafanyia vibweka kama anavyokufanyia wewe? Sasa na wewe u-launch investigation kuhusu yeye! Na ndoa nyingi unazoziona uanza vivyo hivyo.
 
Yaani mara nyingi mdada akikupenda ni ngumu kukutamkia kama mwanaume, vitendo vinaongea kaka.... TAKE CARE WHILE ASSESSING THAT.....
Angalia anaweza akawa changu au ni rafiki mzuri.... TAKE TIME KUMCHUNGUZA KAKA KAMA UKO SINGLE,,,, Kaka married achana nae maana asije kukuharibia ndoa yako babu wee!!!!!
Asante ila sidhani kama ni changu, changu si utamjua. Nyie wanawake tatizo lenu mnapenda kwa moyo, na hilo husababisha kutovumilia kuweka kitun kama hicho moyoni ndoo maana mnajisahau hadi mnaachilia vitendo voiongee. Lakini si wezi kwenda haraka.
 
mbona jibu unalo tayari?
wewe unakwenda kununua service kila mara
hivyo mdada anajua wewe unaomshiko wa nguvu
hivyo anataka akunase msaidiane kula huo mshiko.

kama huamini basi nawe siku mmoja nenda kisha umsifu
kama alivyokusifia umwambie "amependeza kama anakuja
kuolewa nawe" uone jinsi unavyotakiwa ku-react ukiambiwa hivyo-
.
Ngoja nikamwagie misifa nione!!! thanks good idea.
 
Kwanza kwa kuweka kwake loud speaker inaonesha ni mpuuzi sana; na kukuonyesha kuwa soko lake liko juu sana. Angekuwa ame-hold simu kwa ajili yako sawa lakini kuweka loud speaker - that is bullshit. Je, hiyo loud speaker sio recorded kweli? Wewe umeoa? Mwambie unataka kumshughulikia na sio kwa ajili ya life time relationship. Je, ni wangapi anawafanyia vibweka kama anavyokufanyia wewe? Sasa na wewe u-launch investigation kuhusu yeye! Na ndoa nyingi unazoziona uanza vivyo hivyo.
.
Good analysis and noted.Asije akaniwekea loud speaker na mie oneday .
NB: Ningekua nimeoa nisinge omba ushauri.
 
nahisi macho na moyo wako umevutika kwa huyu dada pia

Sio sana, ila ni dada mzuri, na mnyenyekevu machoni. Kilichomo ndani yake ndoo si kijui. Watu huvaa ngozi ya kondoo ndani simba dume.
 
Huyu dada kakupenda na anatamani uwe wake forever and ever ndo maana kakwambia umevaa vizuri kama unaenda kumuoa.
Mwambie ukweli kama unamuheshima kama dada yako na si vinginevyo ataacha vituko vyake
 
Please get time kumjua huyo dada vizuri, anakaa wapi, ndugu zake ni akina nani, marafiki zake, ameolewa au ana mchumba, au kama ana rafiki mwingine wa kiume na hata afya yake!!!!!!!!!!!!!! Naomba usiwe na haraka maana haraka haraka haina baraka na siku zote utaishia pabaya ukiwa na haraka
 
Thanks firstlady1, nitafanyia kazi ushauri wako.
 
Please get time kumjua huyo dada vizuri, anakaa wapi, ndugu zake ni akina nani, marafiki zake, ameolewa au ana mchumba, au kama ana rafiki mwingine wa kiume na hata afya yake!!!!!!!!!!!!!! Naomba usiwe na haraka maana haraka haraka haina baraka na siku zote utaishia pabaya ukiwa na haraka
Thanks, mawazo mazuri ,
 
Ki ukweli wadada wako hivyo. Hawasemi watakalo wanajichekesha tu. Pia, wengine ukimuonyesha meno tu ukimsifia kapendeza anakuja wanguwangu. Kiufupi, wadada ndio wapendao zaidi mahusiano. Yamenikuta hayo; kisa nilimsifia mara 2-3 kwa nia njema bac yeye mwenyewe kanialika kaniachia kila kitu. Nikadhani nitachomoka muda mfupi bac hadi leo miaka miwili tupo tunacheza tu. Ananimanipulate kwa kila hali, na mimi nmeona oh what the heck, i invest nothing i eat for free. La msingi, usijaribu kama hauna nia. Kaza buti jifanye wa bei mbaya. Afterall you are. Chukua hatua kama tu una nia ya kuwa nae. Better, kama utataka kuonja, mwambie wazi kuwa hukai nae ili asijenge maghorofa ya barafu. Kila kheir
 
Back
Top Bottom