Nimfanyaje huyu dada

kwanza mwanaume haringi au kujishaua, wanawake watakuchukia ukiwa hivi pili una condoms? Tatu opportunity dance with the one on the dance floor, ingia kula kitu kama size yako
anza mkataba, ndio mwanaume anatakiwa kuwa, hakuna mapenzi siku hizi watch out, kitu kikiwa kinakufaa kiweke ndani au hakifai sepa, kata mawasiliano, acha mapenzi hayapo, usipoteze muda, ukazani ni ww mwenyewe umemwona, kula tambaa kama hafai ciao

kaka we leo na condoms tu....zimekufanya nini?
 
vipi oceanic nini?
Wana jf naomba ushauri. Kuna dada anafanya kazi sehemu moja inayo toa services. Ni dada mzuri, msafi, anajiheshi, anaelimu nzuri na muungwana. Tatizo Kila nikienda hiyo sehemu kupata service nakutana na vituko. Sometimes akiniona ni kama anachanganyikiwa. Siku moja nimepita hapo akawa anaongea na jamaa kwenye simu alipo niona akaweka loud speaker. Huyo jamaa alikua anamwomba amwoe na yeye akawa anakataa. Siku changia chochote nikauchuna. Siku nyingine akaniambia nimevaa vizuri kama nakuja kumwoa. Nikamshukuru kwa compliment yake lakini sikuongeza lolote. Jana sijui kapeleleza wapi akaniambia kitu ambacho alipaswa kuniambia mtu ambaye nipo naye karibu nina maana amepeleleza hadi amajua hicho kitu.
Sasa naomba masaada maana juhudi anayo fanya huyu dada, naona kama namwonea kutoonyesha any positive response. Namheshimu, i mean sijaonyesha dharau yoyote. Nifanyaje na je nimawazo yangu finyu. Note. Samahani sina maana sipendi anacho kifanya (nafurahia mno) lakini kutojua na kutokuwa makini kunaweza kunigharimu.
 
kaka we leo na condoms tu....zimekufanya nini?

Mzee hashycool kaa chonjo u know usimwamini yeyote, condom first, halafu vipi ww na Nilham mmefikia wapi? bibie wallaahi kakujia
ushindwe mwenyewe, hata avatar yako umebadili mapenzi bwana si utani, mpe hii kiti AICHA toka kwa africando na Habibi toka kwa Amr Diab
then mpeleke bagamoyo akija, DAR makelele, good day
 
.
No thanks!! hujaelewa, soma upya. naenda kununua service za kampuni na sio kwajili yake. kawni wewe unapokwenda gengeni pale mtaani pako ni kijipendekeza??

nikiwa kama spare mod nasema , sredi liendelee. :brushteeth:
 
Unamchelewesha wa nini chapa lapa fasta fasta jichepe.

avatar32910_1.gif
vipi hapo unapigawimbo gani
 
kwanza mwanaume haringi au kujishaua, wanawake watakuchukia ukiwa hivi pili una condoms? tatu opportunity dance with the one on the dance floor, ingia kula kitu kama size yako
anza mkataba, ndio mwanaume anatakiwa kuwa, hakuna mapenzi siku hizi watch out, kitu kikiwa kinakufaa kiweke ndani au hakifai sepa, kata mawasiliano, acha mapenzi hayapo, usipoteze muda, ukazani ni ww mwenyewe umemwona, kula tambaa kama hafai ciao
Hivi mbona tunamawazo negative sana hapa JF. Sijasema chochote hata kama ni matatizo au najisikia vibaya kuwa single, kwani kuwa single kwako kuna maana gani?? kwani mie wa kwanza??, au ni ushamba fulani kuwa single??,. Pili kunamisingi ya maisha ambayo kila mtu anahaki ya kuifuata. Kama ni mkristo huruhusiwi kufanya kitu chochoite kabla ya kuoa na baada ya kuoa hakuna kuaachana hadi kifo hata kama mkiachana huruhusiwi kuo tena au kuolewa tena, au nachanganya na wala nyumba ndogo hairuhusiwi the same kwa waislam. Kuna mtu hapa JF kauliza eti mwaka ni tatizo kwake bila kufanya mabo hayo?? Mbona tunakuwa kama kuku ambao hugawa na kununua bidha bila kuul;iza muuzaji au mnunuzi. Hivyo nilikuwa nahitaji ushuri mzuri namna ninavvyo weza nikajenga uhusiano mzuri naye na si ushauri wa kufanya naye mapenzi (nitakuwa mharibifu wa maisha yake hata kama ni dada mzima, na sipendi).

Pili tusi[pende kujitetea eti hatuwezi kusubiri eti tutajishua nani kakwambia???. Kama hujapata kazi usisingizie kuwa kama hawakupi kazi utaanza kuiba?? hakuna excuse utakwenda jela kama kawaida na kazi hupewi. so take care na uwe mwaminifu.Kwa kweli ni tabutupu huko mwisho wa universe, ninavyo soma mawazo ya watu hapa JF sodoma na ghomora i karibu
 
"Na tukinyamaza wanadai tunaringa jamani"

There are several possibilities:
1. Kama ni "pangapanga," basi huyo akikuona tu mwili umamuwasha na anatamani ukam-do.
2. Kama amekuona unaweza kuwa na mshiko wa nguvu, basi anaforce namna ya kukupata ili awe karibu nawe akukamue.
3. Kama amekuzimia, basi huyo kakuzimia kikwelikweli. Hadi mdada aseme kuwa anakutaka lazima atakuwa amekuzimia kwa sana tu. Kawaida yao huwa hawasemi, wanasubiri kuanzwa.
Ushauri: M-date/mtoe nje (lunch, dinner, kuangalia mechi, drinks etc) several times uone mwelekeo wake ukoje.
 
Hivi mbona tunamawazo negative sana hapa JF. Sijasema chochote hata kama ni matatizo au najisikia vibaya kuwa single, kwani kuwa single kwako kuna maana gani?? kwani mie wa kwanza??, au ni ushamba fulani kuwa single??,. Pili kunamisingi ya maisha ambayo kila mtu anahaki ya kuifuata. Kama ni mkristo huruhusiwi kufanya kitu chochoite kabla ya kuoa na baada ya kuoa hakuna kuaachana hadi kifo hata kama mkiachana huruhusiwi kuo tena au kuolewa tena, au nachanganya na wala nyumba ndogo hairuhusiwi the same kwa waislam. Kuna mtu hapa JF kauliza eti mwaka ni tatizo kwake bila kufanya mabo hayo?? Mbona tunakuwa kama kuku ambao hugawa na kununua bidha bila kuul;iza muuzaji au mnunuzi. Hivyo nilikuwa nahitaji ushuri mzuri namna ninavvyo weza nikajenga uhusiano mzuri naye na si ushauri wa kufanya naye mapenzi (nitakuwa mharibifu wa maisha yake hata kama ni dada mzima, na sipendi).

Pili tusi[pende kujitetea eti hatuwezi kusubiri eti tutajishua nani kakwambia???. Kama hujapata kazi usisingizie kuwa kama hawakupi kazi utaanza kuiba?? hakuna excuse utakwenda jela kama kawaida na kazi hupewi. so take care na uwe mwaminifu.Kwa kweli ni tabutupu huko mwisho wa universe, ninavyo soma mawazo ya watu hapa JF sodoma na ghomora i karibu

Excellent, v.good boy, endelea kutafuta mapenzi, tabutupu itakuwa balaatupu, utakimbia mwanaume uchi mchana
utakuja niambia, ww mgeni mjini umetoka shamba au? endelea utajua mjini shule, unaweza kumkuta Ohio usiku, au karibu huyo dada ndio ujue dunia, i am so careful nakushauri maana naona uaningia kichwa kichwa town, kazi unayo. goga anafaa weka ndani period, ngojea mapenzi uone
 
mwaya do ze nidful,kisha msikilizie....nenda ofisini kwake..uone kama bado anakukaribisha kwa bashasha...??
she could be mchunaji,anataka a fling tu ama she is genuinely interested in you!sasa hapo ni juu yako kung'amua which is which....
za kuambiwa changanya na zako ofcourse!
 
hebu nielewesheni wakuu, huyu mkulu mbandika bandiko anataka ushauri wa aina ipi? hamwelewi huyo bidada na anaomba kueleweshwa? au anamwelewa ila anaomba ashauriwe cha kumfanya huyo bidada? au haelewi anachotakia ushauri?
 
dada wa watu kawasha green light,hatujuagi kutongoza wanaume ila tunafanyaga vitendo,ili mwanaume amake his move....sasa huyu,kaka yuko confused hajui afanye nini mie nahisi ni domo zege..LOL:redfaces:
 
Ushauri wangu ni kuwa nenda hatua zaidi kwa kuthibitisha dhana yako kuwa anajiheshimu kwa kufanya utafiti juu yake ili uje tabia yake naamini hukosi pa kuanzia. Ukiridhika na tabia yake na kama bado hujaoa ndugu basi hapo ndio mahala pazuri pa kuanzia kwani ni muhimu kupata mtu anakupenda tokea awali ndoa siku hizi zimekuwa ngumu kutokana na usanii wa watu kwa hiyo jiridhishe kwanza na nenda kwa murwa bila kumkatisha tamaa wakati unaendelea na utafiti wako
 
Mkuu jaribu kwanza kukaa nae chini umsome yaani mualike kwenye mitoko miwili mitatu hivi, umuone how ana behave, mpigie simu sometimes ongea naye kirefu masuala ya life, muulize maswali kuhusu life yake uone km kuna interest yeyote ataonesha juu yako, mambo yatajiseti tuuu kamanda
 
dada anakutaka huyo kuna kitu kavutiwa kuhusu wewe...
kwanini usikae nae chini muongee alicho nacho moyoni ..
nawe umwambie unacho fikiria ...
halafu wote mpate solution..
kama ni mtu mzima mwenyr akili timamu ataelewa na kuchukua notice cha ambacho utakacho kisema..
 
halooo knock knock, kwani kasema anakutaka vipi je kama anafanya kazi na umjuae? mie naona haujaeleza mengi zaidi hapo sidhani kama anaona mteja na kupeleleza bila kujua ciecle yako.

JE WEWE UNAMTAMANI?
 
Unapaswa na wewe useme unampenda? usije kuwa umekufa kwake sasa jinsi ya kuingia ni Taabu. Tafuta siku nendeni sehemu moja nzuri kaeni muambiane ukweli!

Isije kuwa huwa unaenda kununua vitu vingi akijua vyako kumbe vya Ofisi........akawa anataka mkwanja tu hilo ni angalizo!
 
huyo mdada anakutaka bro sasa sijui anakutaka kiaje lakini she wants u
 
Back
Top Bottom