Konakali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 1,533
- 263
There is no way zaidi ya hapo.....! Lakini je, ikitokea akamuua mdogoye? Utatubu wapi tena? Au huyo mwarabu alikuwa akijaribu kukutia mimba kupitia tiGO? Nina wasiwasi na hilo....! Vinginevyo, kuna dispensary moja iko Nairobi (Kenya), ambayo hupandikiza watoto; kaulizie iko mtaa upi....! Huyo mke mwenzio yeye ankufahamu? Yeye alipataje watoto? Mumeo analifahamu tatizo lake? Shame on you....!Jamani hii ni habari ya kweli na inanisumbua moyo sana,nimeolewa na bwana mmoja wa kiarabu miaka 20 iliyopita,huyo bwana ana mke wake wa kiarabu aliyezaa naye watoto 6 ila mimi hanizalisha.Tumetibiwa kila hospitali nchini na nje ya nchi lakini hakuna mtoto.Dk Kaisi alifanya kila njia lakini wapi.Hatahivyo huyu mme wangu wala hajawahi kunipigia kelele juu ya hilo,ameonyesha love kubwa sana.Sasa miaka 10 iliyopita alimleta mdogo wake ambae alikuwa anasoma ulaya,ni kijana mzuri,msomi na anabidii sana ya kazi ,anamsaidia sana kaka yake kazi maana kaka yake ni tajiri sana tu.Basi katika maongezi naye nikamweleza shida yangu ya kutozaa na nikamwambia kuwa Dk Kaisi anasema mme wangu mbegu zake haziwezi kunibebesha mimba,
.Tukajenga mazoea naye sana,disko tunaenda wote na mengi tu tukawa tunafanya pamoja.Sasa miaka 6 iliyopita kaka yake akaenda kwa mke wake uarabuni nikabaki na shemeji ambae akawa msimamizi wa familia sasa bila ya ajizi nikamtolea uvivu nikamwambia kuwa naomba kuzaa naye,alisita sana na akaniuliza maswali mengi mno lakini hatimaye nikalala nae na nikabeba mimba na kuzaa mtoto wa kiume kaka yake hakujua maana alirudi baada ya 3 months.Ila shemaji kwenye 6 kwa 6 ni eksipati sana yaani sijawahi kuona mwanaume mtamu kama yeye.Sasa shemeji akapata kazi Marekani akaenda ila kila akirudi tunawasiliana tunaendeleua libeneke na hivi sasa nina mimba yake,kinachonisikitisha ni kwamba shemeji anapokuwa kifuani ananiita mama watoto wangu nipe raha nami nampa raha,sasa naumia roho sana kuona nazaa na shemeji yangu na namsaliti mme wangu ambaye amenifanyia mengi mazuri,je nikaungame kwa mme wangu kwa kumwambia ukweli kuwa nazaa na mdogo wake.
That is why; With exception of God, I trust nobody, and I can't....! Only fools (but not even all) may do so....!