nimezaa na shemeji yangu

hivi unataka kutueleza kitu gani na unachohitaji nini hasa???
 
Shemeji shemejiii usiku mwazima taaa...
Shemeji kula kaka hayupo akirudi sitamwambia!!!

Mwaya we chuna tu mbona midume inazaa nje ya ndoa inatuficha wake zao :decision::decision::decision:
Kama mme ameambiwa mtambo una matatizo na bado bidhaa inaendelea kuzalishwa na yeye amenyamaza nadhani siri anaijua. Ili mradi ni ndani ya ukoo hakuna shida. Na wewe nyamaza tu. Kitanda hakiongei.
 
mwarabu? duh, pole sana, umeolewa na jini wewe. vipi, nambia habari za kufuga majini, utakuwa unayalisha kila siku humo ndani...na uzinzi huo..yeye kwanza mzinzi ndo maana anaoa wake wengi, wewe nawe ni mzinzi mzinzishi...mnafiki kujifanya unaumia moyo kumbe unafanya upatu kwenye nyumba ndogo yako (siwezi kuita mke wa pili mke, hiyo sio ndoa kwangu)...
 
kilapu
 
Unapenda 6 kwa 6 eeeh, unaona tamuuu eeeh.

Wewe miaka 20 hujapevuka akili unaona rahaa ukigongwa 6x6 unachagawa mpaka unaachia goli lote wazi!

Nyie wanawake wa hivi mnatutia kichefuchefu kabisa.

Umemsaliti vibaya huyo mzee bora umwombe msamaha na uachane naye uendelee kugongwa 6x6.

Zipo staili nyingine ambazo ukipigwa nazo utasahau hiyo na utazidi kuzaa na wengine. Pole sana
 
so mbaya kwani damu si ile ile aiseee,,, tafuta wa pili tu muongeze ukoo..
 
Back
Top Bottom