FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,378
Ni wachache walio wa zamani kuliko mimi Legend wa JF!
Hiyo zamani unayoizungumzia wala hakukuwa na upendo kihivyo.
Matusi yalikuwepo sana tu na kufungiwa kulikuwepo. Kuna wanachama wengi tu wa zamani ambao walipewa vifungo vya maisha.
Hizo timu unazozizungumzia zilikuwepo. Kilichobadilika sasa ni matumizi ya msamiati 'team/ timu' tu. Lakini makundi ya kuungana mkono yalikuwepo sana.
Kuelewana kulikuwepo na pia kupishana lugha kulikuwepo. Tofauti ya sasa na zamani ni idadi ya wanachama.
La ubaguzi sina uhakika nalo sana. Kwani sasa hivi kuna ubaguzi humu?

Switluv wangu mbona siku hizi wanikimbiaaa??
Hivi wewe na Lara 1 bado mnaandaa get together party? siku hizi sipiti humu mara kwa mara, majukumu yamezidi
Nimewakumbuka sana Excel, Window7 7, mango g, Husninyo miss neddy, evelin salt miss chagga na wengine wengi tuu
Aksante Mbu kwa kutukumbuka. Wengine tushazeeka hata meno ya kutafunia ugoro hatuna.
Salamu kwa malijendi wote....
.......my one and only #SoulMate ...... acha kabisa,
Enzi hizo mzee Asprin anashangaa eti "alikuwa wapi siku zote!"
"Kujipendelea" was our motto na ilikuwa muhimu sana.
Respect to you madame MwanajamiiOne!
Peace & Love.

Wowwww!!!! So nice kukusoma tena. Yeah, acha kabisa....kumbukumbu taamu za miaka ile, siku nzima tunaganda kuijadili mada muhimu ya siku...
Kwakweli majukumu yametuzidia, alijisemea BelindaJacob, "ameiteka roho yangu!"
Hahahahaaha kweli mbali sana....
Enzi za mjukuu wangu MwanajamiiOne anauliza "Tukatike au tusikatike?" Ilikuwa raha na utamu.
Kingo za nini???
Siku hizi mjukuu mtiifu amekuwa mtukutu. Babu akimwita aje akaguliwe anagoma.
cc moskwito Mbu. Nimekuachia soulmate wako, ukimshindwa mrudishe kwa wajomba zake.
Akhaa.... Babu umesahau kuwa mamangu yaani Mwanao alisusiwa mimba yangu na wewe ukaapa ndio utakuwa mlezi kamili? Hao wajomba wanatokea wapi tena?
Na wala hatonishindwa basi ujue.... si kwa dua hilo.
Kukumbukwa na FirstLady1 ni zali la mentali.
Naona maisha yanabana, na kizazi kingine kina kuja kwa fujo. Wacha niinjoi pensheni yangu.
Hivi ni kuzidiwa kwa majukumu utoto umetawala. Maana kwa sasa zinaanzishwa thread 200 kwa siku. Zote za kitotototo tuuuu.