Mimi ndio kwanza naingia hapa jf nimepapenda sana, naomba kujumuika nanyi wakuu.
Na iwe kweli.Mimi ndio kwanza naingia hapa jf nimepapenda sana, naomba kujumuika nanyi wakuu.
Ungempa hii warning hapa chini!Karib sana. Naitwa klorokwini, na huyo hapo juu ndio gozo, akikasirika yeye na JF server inagoma pia
Karib sana. Naitwa klorokwini, na huyo hapo juu ndio gozo, akikasirika yeye na JF server inagoma pia