Nimevutiwa sana na JF.

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,417
7,727
Mimi ndio kwanza naingia hapa jf nimepapenda sana, naomba kujumuika nanyi wakuu.
 
karibu sana mkuu lakini salimia kwanza wenyeji ndo utamaduni wetu sisi wadanganyika..
 
Mimi ndio kwanza naingia hapa jf nimepapenda sana, naomba kujumuika nanyi wakuu.


Karibu sana Mkuu, hapa jamvini pako poa sana ukiondoa mambo madogo madogo ya hapa na pale. Karibu ujisikie nyumbani kabisa, ila uangalie usiwe addicted tu na hii kitu inaitwa JF :):)
 
Nashkuruni kwa kunikarbisha! Wakubwa shikamoon, vijana wenzangu mambo vipi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom