Nimetokea kumpenda sana Dena Amsi!

Wapi mamaaa Dena ndo jamaa keshakudondokea hivo mambo ya kujivinjari. Ila mwenyewe akiona utakoma

Naona leo kuna mahali kapitia ila anakuja mda si mrefu!!! hapa leo patakuwa padogo!! Gaga mie sisemi neno!
 
hahahahahahahah hapa dawa,yani DA anakuja hata changia hataki,plz DA u shud say sum thng to our member.
 
ivi kuna wana MMU ambao wamewai oana jaman? Kama wapo tujuzeni jamani ili tujitafutie wake mapema
 
Hmaster,

Dena Amsi anao mkataba na Obuntu wa miaka mitatu tayari till 2013!

Pole sana kwa hilo ingawa wanasema Sharing Is Caring, lakini kwangu itakuwa ngumu...

Have a nice working day!
 
apochacha!!!!!!!!!
ndo mana nikamwambia abadirishe bas manake io avatar dada DA anaaweza AKASITISHA NIA...ata km alikuwa ana nia..lakin DA aasi anamapenz ya kweli ye aangaliii sura wala KUOMBWA NAULI ..ye anapenda tu miamia!!!!!!

mmh! Ile sura inavyotisha hata kipofu haangalii mara mbili.
 
Wapi mamaaa Dena ndo jamaa keshakudondokea hivo mambo ya kujivinjari. Ila mwenyewe akiona utakoma

Hayo ya nitakoma yanatoka wapi tena jamani na wakati nilishatahadhalisha tangu awali kama ana mkataba na mtu mwingine basi. Mi sitaki kumuiba huyu DA nataka nimmiliki kihalali kabisa. Halafu hadi sasa sijaiona reply yake: sijui bado anajiuliza?
 
babuweeeeeeeeeeee mbona mkaidi ivo?
kanambia naogopa sura ilo
ebu change face kwanza ahhh ...nan anataka apate mtoto anatisha akienda klinik nes anamwambia pta mbele mama upime uende cz anasababisha vilio kwa watoto wa wenzake

kaliogeshe sura ilo

Similar Discussions

Back
Top Bottom