Nimetembea na GF wa rafiki yangu

Kula tundaaa, we na huyo shemeji yako wote mlikuwa mnatakana, mara mmepigiana sim, mara mmesponchiana, mara mmepelekana hosptl, mara mmesaidiana kazi ndogondogo, mara mmeagana kwa mabusu, tena deep kiss! Khaaaaa? Kama kweli hukuazimia unakubalije kumpiga dem wa mtu, tena shemeji yako open lip kiss?

Peleka uchafu wako huko.
 
huyu mpwa wangu ananinyongonyeza kweli,
baada ya kusoma thread hii na nyingine mbili,
nimegundua mpwa wangu kaoa but sorry to say hajatulia,
mpwa wangu tulia na mkeo,tena umesema una na mtoto,
hivi utapenda ukimwi ukuue mwanao yule kipenzi ateseke kama yatima,
maana ukifa wewe baba na ukimwi hata mama yake pia atakufa.
 
Wengine wanaleta tu hadithi zisizo na ukweli...leo anaomba ushauri kuhusu mke...kesho anatafuta mchumba...mtondo goo nyumba ndogo inasumbua....
 
ukimwi wa siku hizi hauui kirahisi
 
Wengine wanaleta tu hadithi zisizo na ukweli...leo anaomba ushauri kuhusu mke...kesho anatafuta mchumba...mtondo goo nyumba ndogo inasumbua....

kama ni hadith za uongo ni bora sana,
maana hizi ni tabia hatarishi.
 
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu

Acha umalaya we mtoto mdogo sasa umefaidi nini? kapie kwanza na cha ajabu hujafika kwa babu
 
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu

tatizo la uyo manzi ni mgawaji sana wala usijisifu kichapo alichopewa ni kwasababu ya umalaya hapo mlikutana pipa na mfuniko tena pipa la gongo.......we uoni hadi condom alikuwa nazo tupe newz ulilipia sh. ngapi?
 
Hiyo ni sawa na kupima kina kirefu cha maji kwa miguu yote miwili wakati huna weledi wa kuogelea. HATARI kwelikweli!
 
Stori ya kutunga. Ungeondoa tu part ya kondomu ingeaminika zaidi ! Kusema " kucheki pembeni nkaona box la Kamasutra condoms " ni kithibitisho tosha kuwa umetunga kwa mtu anayefikiria in 3D.
 
hongera sana na kaa mkao wa kula My Gf wako naye lazima tu atamegwa na my friend wako
 
Huyu jamaa ana hatari sana, juzi katoa mada hapa yenye utata kidogo. Nahisi yuko depressed. Hakika kisasi ni Mungu, keep on waiting huwa hachelewi kujibu kwa watu kama nyie wenye tabia za kieshetani.

Pole sana.
 
Pumbawavu kabisa wewe. Utatembeaje na demu wa lafiki yako ndorobo wewe? Ila inaonekana ulifaidi sana nyumbu wewe
 
Back
Top Bottom