Nimeshuhudia muujiza wa ajabu nchini Germany!

How Is This Man Floating in the Air?
ku-xlarge.jpg


Levitating Street Performer | Mighty Optical Illusions

levitating-performer.jpg
 
Wana JF, hivi karibuni nikiwa katika matembezi katika mitaa ya jiji la Frankfurt nchini Germany, nimekutana na muujiza ambao hadi leo nashindwa kuelewa ni nini kilichokuwa kinatendeka. Niliwakuta watu wawili wa asili ya kiarabu wakiwa wamebebana kwa njia ya ajabu kama inavyoonekana katika picha. Walikuwa wamekaa hivyo kwa muda mrefu bila kuonyesha dalili ya kuchoka au kutumia nguvu. Niliweza kuhakikisha wote wawili walikuwa ni bnadamu hai na sio picha wala sanamu. Walifanya hivi ili kujipatia chochote toka kwa watu.

Kuna mtu anaelewa hili?

kwa ninavyopenda ushuhuda mie, walah ningemgusa mmoja wapo nione kama hajaweka nyenzo yoyote kwenye hiyo minguo
 
Mchekini Mind Freak Chris Angel kwa youtube! Mimi hata nimesimama kumwangalia kwasbabu anapingana na science yote niliyosoma live!
 
Hii hata mi mwanzo ilinishangaza lakin kumbe ndani ya mwili wa huyu mtu kuanzia pale mwili wake ulipogusa hiyo chuma umezungukwa na hiyo chuma iliyoungwa na ilitengenezwa kufit nguo na mwili wake. Kwa hiyo kaivalia hiyo chuma kwa ndani kiasi kwamba huwezi kugundua kirahisim
 
kwenye Bible ukisoma vitabu vya Mtume Paulo tunaambiwa kuna jamaa mmoja alikua anam-challange Yesu na siku moja akapaa juu mbele ya wanafunzi wa Yesu, ikabidi Petro aombe lile jambo lisifanikiwe ili injili isikashifiwe ndo yule jamaa akaanguka lakini alikua tayari kashavuka usawa wa nyumba na miti
 
Back
Top Bottom