Ivi kuna tangazo la biashara linachekesha kama hili la Vodacom Mpesa la jamaa anayesahau yuko kufani anaahirisha aje atibiwe siku hakuna foleni?
Kuna ulazima wa kuuliza kwenye izi kampuni usika manake watu wanashiliki lakini wanaishia kukatwa ela za sms tu ila kushinda kiukweli ni ndoto, wanashinda tu watu wa matangazo wakina kibera feki.
Tatizo liko kwenye uhalisia toka nizaliwe na extended family izi za kiafrica hakuna ata ndugu yangu mmoja ambaye amewai shinda ata kilo tano!
Kuna kipindi inanifanya nisiwe na imani na izi campaign zao!
Kuna kipindi watu walilalamika kuwa ni watu wa North ndo wanashinda the next week tukaona mmoja wa south nae akashinda.
Apo ndo imani ikafa kabisaaaaaaaaaaaaaaa na haya mambo
Mkuu pumzisha akili kwanza, hapa ni kucheka kidogo; vinginevyo hii nchi bado tunahitaji mabadiliko ya juu haswa siyo haya ya juu juu.Taifa la mbwembwe,watu mbwembwe ,matangazo mbwembwe,siasa mbwembwe,kilimo kwanza mbwembwe,shule za kata mbwembwe Na Vodacom MBWEMBWEEE.Lakn Tutafika hata Ufaransa walianza Mbwembwe