Nimepoteza mapenzi kwa huyu binti na sijui kwa nini. Ni mzuri kwa sura na umbo, kakamilika kila kitu. Nikikiri ni demu kali kati ya mademu niliowahi kuwa nao. Ananipenda naamini, hajakaa kimaslahi, not a gold digger! She has a job and prostects better than mine. Nimekuwa naye kwa kama miezi sita sasa ghafla tu nimepoteza mapenzi kabisa kwake. I like her but love is not there! Nashindwa kumwacha, naogopa kumuuziza jinsi anavyonipenda.
Wewe hii imewahi kukutokea? Mbaya zaidi pamoja na kuwa na miaka 25 binti alikuwa hajaanza mapenzi, yani wanaomfahamu wanashangaa nimepata vipi. Nilikusudia kumuoa lakini nipo njia panda mapenzi yamepotea ghafla.
Yako wapi mapenzi yangu kwake?