Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

Jamani Pdidy, pole sana mpendwa, Mungu ampe mama yetu pumziko lenye amani.
 
Pole sana Kiongozi. Mungu awape faraja na subira kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana Mkuu! Mwenyezi Mungu ndo Mfariji wetu, Muwe na Moyo Mkuu katika kipindi hiki kigumu.

R.I.P Great Mama!!
 
POle sana Mkuu,

Tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Dear wapendwa
nimempoteza mama yangu kipenzi usiku huu
naomba maombi yenu
more inf to mex

.
R.I.P mama Pdidy. Tuko pamoja ndugu katika maombi kwamba Mungu awatie nguvu kuondokewa na mama yenu kipinzi. Kwa kuwa Bwana ndie aliyetoa na ndie aliyetwaa, jina lake lihimidiwe milele aamen!
.
 
Inna Lillah Waina Illahi Rajoon
Sisi ni wa Mwenyezi Mungu nasi Kwake tutarejea.

Pole sana kwa msiba huu, Mwenyezi mungu akupe subra Insha'Allah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom