Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

Pole sana mpendwa.....Mungu akupe nguvu katika hili.....
Pole sana......
 
Mwenyezi awape nguvu na mioyo yenye uvumilivu wa kuhimili msiba huu!
Amiin
 
pole sana mkuu wewe ulimpenda mama
ila mungu kampenda zaidi
akusimamie katika kipindi hiki kigumu sana kwako
polee
 
Pole sana! mwenyezi Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki cha majonzi... Bwana ametoa bwana ametwaa jina labwaba lihimidiwe
 
pole sana kamanda.... ukipata muda sikiliza wimbo wa Remmy Ongala KIFO. Mugu awatangulie katika kipindi hiki kigumu
 
Mungu awape Moyo wa ustahimilivu familia yote ya Pdidy ktk kipindi hiki kigumu! R. I. P our Mama,
 
Pole sana Mkuu!
Tunamwombea marehemu mama Mungu amlaze mahali pema na nyiyi wafiwa awape nguvu na subira.
 
I lost my mother in 13yrs ago but ,I know for certain that we never lose the people we love, even to death. They continue to participate in every act, thought and decision we make. Their love leaves an indelible imprint in our memories. We find comfort in knowing that our lives have been enriched by having shared their love. -pole mkuu pdidy MAY OUR MOTHER R.I.P
 
Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu,"Mshukuru Mungu kwa kila jamb"
 
Mungu akujalie nguvu wkt huu mgumu kwako
mama katangulia tu nasi tutamfuata baadae.
cha kujiuliza na kujifariji ni malezi mema alokupa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom