Nimepata kazi mpya /mshahara umedabo nabadilisha mchumba

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,292
7,148
@arusha, baba mngoni, mama mchagga

...unafki sitaki tuwe wakweli...HIVI KUNA MAPENZI NDANI YA UMASKINI??

nimepata kazi mpya mshahara ingalao unakidhi kimtindo, cheo kimebadilika nahisi ni wakati muafaka wa kuwa na mwanaume anayenizidi.

Msinishangae I always wanna to be inferior kwa mpenzi wangu so nimempa probesheni ya six months otherwise nataka nikumbatiwe na mwanaume anayenizidi.

Kimoyo moyo naamini hata yeye angeniwahi kufanikiwa ningeweza sugua benchi.

Note:Mimi najihisi raha kulala na mwanaume anayenizidi kielimu, kipesa,kicheo,urefu,uzito,yaan kila kitu
 
Fanya kile roho inapenda. Nimependa kitu moja, hukutaka kumdharau kama wenzio, umeamua kumuacha kibusara.
Nahisi na yeye atakuwa na busara zaidi ya kukataa hiyo probation ya miezi sita
 
hajui kama nimemweka kwenye probesheni, hii nimeweka kimyakimya
siwezi mdharau ni kipato tu tofauti yetu
 
@arusha, baba mngoni, mama mchagga

...unafki sitaki tuwe wakweli...HIVI KUNA MAPENZI NDANI YA UMASKINI??

nimepata kazi mpya mshahara ingalao unakidhi kimtindo, cheo kimebadilika nahisi ni wakati muafaka wa kuwa na mwanaume anayenizidi.

Msinishangae I always wanna to be inferior kwa mpenzi wangu so nimempa probesheni ya six months otherwise nataka nikumbatiwe na mwanaume anayenizidi.

Kimoyo moyo naamini hata yeye angeniwahi kufanikiwa ningeweza sugua benchi.

Note:Mimi najihisi raha kulala na mwanaume anayenizidi kielimu, kipesa,kicheo,urefu,uzito,yaan kila kitu

usiache mbachao kwa msala upitao........................
 
vipi ule mpango wa kukwapua vitrilion hapo job kwako umefikia wapi?
hilo ni moja kati ya mambo yanayonifanya nimwache mshikaji manake amenizuia nisipige mipesa wakati hali yetu checheme chechemea
 
Ukikua utafikiria zaidi ya hapo.
wewe ndiye hujakuwa na huuoni umuhimu wa pesa kwa kuwaandalia watoto watarajiwa maisha bora
achana na wazee wa kizamani pesa ni karibia kila kitu na mwili wangu haukumbatiwi na niliyemzidi
 
@arusha, baba mngoni, mama mchagga

...unafki sitaki tuwe wakweli...HIVI KUNA MAPENZI NDANI YA UMASKINI??

nimepata kazi mpya mshahara ingalao unakidhi kimtindo, cheo kimebadilika nahisi ni wakati muafaka wa kuwa na mwanaume anayenizidi.

Msinishangae I always wanna to be inferior kwa mpenzi wangu so nimempa probesheni ya six months otherwise nataka nikumbatiwe na mwanaume anayenizidi.

Kimoyo moyo naamini hata yeye angeniwahi kufanikiwa ningeweza sugua benchi.

Note:Mimi najihisi raha kulala na mwanaume anayenizidi kielimu, kipesa,kicheo,urefu,uzito,yaan kila kitu

If love is money, marry the bank.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom