Nimepata kazi mpya /mshahara umedabo nabadilisha mchumba

Kapime kwanza bz hako katabia cdhani kama umekaanza leo then kama upo fresh go ahead n catch tht next man then next again n next... Jast mek sure u play it cool all ur way to the top.
 
wewe ndiye hujakuwa na huuoni umuhimu wa pesa kwa kuwaandalia watoto watarajiwa maisha bora
achana na wazee wa kizamani pesa ni karibia kila kitu na mwili wangu haukumbatiwi na niliyemzidi



yaaani wewe utavunwa na kila mtu kwa mwendo wako huo ikiwemo ma boss wako wote. sio shida yaani yote hayo nikutokuwa na mazoea ya pesa . i fil sorry 4 u.

[Jamie Foxx]
She take my money when I'm in need
Yeah she's a trifling friend indeed
Oh she's a gold digger way over town
That dig's on me

[Chorus:]
(She gives me money)
Now I ain't sayin' she a gold digger (When I'm in Need)
But she ain't messin' with no broke niggas
 
Dah... sitaki kuamini km naota au ni kweli, anyways acha nijipe moyo kuwa ni kweli
Ila sasa dada yangu huo uamuzi wa kuamua kukumbatiwa na mtu anaekuzidi pesa mbona naona si mzuri!!!!!!!
Pesa huwa inatafutwa tu huwezi kujua huyo unaemwacha kesho atakua nani. Kwani nani alijua km wewe leo ungekua na cheo na mshaara mzuri kuliko huyo bf wako wa sasa? naamini km wewe ungejua hivo basi usingekua nae. Vp ukiachana nae halafu mambo yake yakawa mazuri baada ya muda kidogo? samahani sikuombei mabaya lakini ebu naomba ufikirie km ikitokea kwa bahati mbaya tu (samahani sio lengo langu) mshahara huo ukapungua au ukaachishwa kazi mambo yatakuwaje?
kuna uzi niliusoma hapa kuhusu dada wa sua aliyemwacha mnyarwanda na kuolewa na college mate wake baadae mnyarwanda akabahatika kuwa waziri, dada amebakia kujuta. Nakushauri ukae chini ufikirie kuhusu huo uamuzi wako please,
I am sure kwa uamuzi huo ipo siku utajuta tu japo hutasema lakini ipo siku utakumbuka haya nisemayo
Nakutakia kila la heri
Thanks
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom