Nimepata kazi mpya /mshahara umedabo nabadilisha mchumba

Kuna wana ndoa fullani ambao nimewafahamu tangu nikiwa mdogo, walianza mahusiano mwanaume akiwa analinda kolokoloni baada ya muda mwanamke akapata nafasi JKT na wakaoana, Mshaara wa mwanamke ulikuwa mara tatu zaidi ya mwanamume lakini waliishi kwa amani. Yule mwanamke ilibidi amsomeshe mumewe course ya Sales & marketing, yule jamaa alivyomaliza course akapata kazi nzuri na kama baada ya miaka minne jamaa alianza kuwa na kampuni yake na akawa anafanya biashara ya kutoa bidhaa Dubai, China na Japan so kipato chake kwa sasa ni kikubwa kuliko cha mkewe.
Nakushauri kama tatizo ni kipato ebu jaribu kumuwezesha kwa namna ambayo unajua kipato chake kitaongezeka na kuzidi chako ili roho yako ifurahi kukumbatiwa naye mara atakapokuzidi kipato, nami nafikiri hiyo probation ya miezi sita inaweza kuwa njia nzuri ya kufanya hili ambalo nalipendekeza. Kuliko kumwacha basi muweze afike kweye level unayotaka and he will consider you as his second God na wewe kwa kuwa lengo lako ni kipato basi utakuwa mtu mwenye furaha
Nakushukuru kwa kuwa muwazi.
Nakutakia mafanikio
 
Hili game tamu! Kumbe mapenzi pesa eeeh? ****** mtupu! Ukiona hivo basi Jua maisha yako ni tabu tupu! Why all of those? Tell us how much u earn a month! Usikute unapata million moja unajiona una hela nyiiiiingi! Money is nothing when u come to humanity
 
Note:Mimi najihisi raha kulala na mwanaume anayenizidi kielimu, kipesa,kicheo,urefu,uzito,yaan kila kitu
Unaweza ukaeleza zaidi; ellimu yako ni kiasi gani, mapato yako ni kiasi gani, urefu wako ni kiasi gani, na una kilo ngapi?
 
@arusha, baba mngoni, mama mchagga

...unafki sitaki tuwe wakweli...HIVI KUNA MAPENZI NDANI YA UMASKINI??

nimepata kazi mpya mshahara ingalao unakidhi kimtindo, cheo kimebadilika nahisi ni wakati muafaka wa kuwa na mwanaume anayenizidi.

Msinishangae I always wanna to be inferior kwa mpenzi wangu so nimempa probesheni ya six months otherwise nataka nikumbatiwe na mwanaume anayenizidi.

Kimoyo moyo naamini hata yeye angeniwahi kufanikiwa ningeweza sugua benchi.

Note:Mimi najihisi raha kulala na mwanaume anayenizidi kielimu, kipesa,kicheo,urefu,uzito,yaan kila kitu

mmmmhhh Marytina hii umeniacha hoi.
 
Pato lako na helimu tafadhali, nione kama nakuzidi.
Mi nina elimu ya form four na pato langu laki elfu sabini na tano.
But nikichakachua sometimes nafika laki tatu na nusu, laki nne...
 
Hili game tamu! Kumbe mapenzi pesa eeeh? ****** mtupu! Ukiona hivo basi Jua maisha yako ni tabu tupu! Why all of those? Tell us how much u earn a month! Usikute unapata million moja unajiona una hela nyiiiiingi! Money is nothing when u come to humanity

ana njaa sio kidogo . Lakini pale via via kuna vibabu (mamba wazee ) vya kitasha vipo vinatafuta watu kama hawa kwanini asiende kurusha karata yake ?
 
mtafute rostam nasikia yuko mbioni kukomba mifwedha yake yote kutoka benki labda utatulia
 
@arusha, baba mngoni, mama mchagga

...unafki sitaki tuwe wakweli...HIVI KUNA MAPENZI NDANI YA UMASKINI??

nimepata kazi mpya mshahara ingalao unakidhi kimtindo, cheo kimebadilika nahisi ni wakati muafaka wa kuwa na mwanaume anayenizidi.

Msinishangae I always wanna to be inferior kwa mpenzi wangu so nimempa probesheni ya six months otherwise nataka nikumbatiwe na mwanaume anayenizidi.

Kimoyo moyo naamini hata yeye angeniwahi kufanikiwa ningeweza sugua benchi.

Note:Mimi najihisi raha kulala na mwanaume anayenizidi kielimu, kipesa,kicheo,urefu,uzito,yaan kila kitu

Yupo mmoja aliyewahi kuwa na akili za mbayuwai kama zako miaka ya yuma huko aliwahi kunifanyia hvy!lkn mwisho akaja kufukuzwa kazi akapewa mimba na mshkaji misheni town alimdanganya ni mhasibu alinitafuta siku namuona nikamuuliza VX ziko wapi ss!akadai ni shetani eti now days nasikia karudi tu kwao!!!my note utaishia kubaya dada yangu kama unaweza muwezeshe wenzio atatoka tu pesa zatafutwa lkn roho je????shauri yako-go go gooooooooooo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom