Nimeokota peni ya ajabu

khamis kilo

JF-Expert Member
May 23, 2016
1,051
1,200
Jana katika matembezi yangu ya kutafuta AJIRA mitaa ya Indira Ghandi kule mnazi mmoja, nikapita sehemu moja inaitwa GoldePlaza, ndipo nikaokota peni iliyoandikwa "QUEEN'S GEM & JEWELLERY DAR ES SALAAM" hii peni ni nzito kiasi na ni ya kioo, nilibaki nayo na kurudi nayo hadi home Tabata.

Sasa jana usiku nilipatwa na mshangao baada ya kuona kile kioo kilichopo kwenye peni kutoa mwanga wa ajabu baada ya kuiweka juu ya meza, ilibidi niitoe na kuiweka kwenye bag, leo asubuhi nimeitoa na kuikagua vizuri na hadi sasa nimefikia hatua ya kuivunja na ndani nimekuta vijiwe vinang'aa sana ni kama almasi."sijui sina sifa za madini ya almasi ni zipi"

Kwa yoyote mwenye msaada katika hili anisaidie maana inaweza ikawa ndio nimetusua kwa style hii.

1469262387252-jpg.369687
 
Jana katika matembezi yangu ya kutafuta AJIRA mitaa ya indira ghandi kule mnazi mmoja,nikapita sehemu moja inaitwa golden plaza,ndipo nikaokota peni iliyoandikwa "QUEEN'S GEM & JEWELLERY DAR ES SALAAM" hii peni ni nzito kiasi na ni ya kioo,nilibaki nayo na kurudi nayo hadi home TABATA.Sasa jana usiku nilipatwa na mshangao baada ya kuona kile kioo kilichopo kwenye peni kutoa mwanga wa ajabu baada ya kuiweka juu ya meza,ilibidi niitoe na kuiweka kwenye bag,leo asubuhi nimeitoa na kuikagua vizuri na hadi sasa nimefikia hatua ya kuivunja na ndani nimekuta vijiwe vinang'aa sana ni kama almasi..."sijui sina sifa za madini ya almasi ni zipi" kwa yoyote mwenye msaada katika hili anisaidie maana inaweza ikawa ndio nimetusua kwa style hii.
weka picha
 
Back
Top Bottom