Tatizo liko wapi? makampuni karibu yote ya America na Europe yanatengenezea bidhaa Asia.............
Tatizo liko wapi? makampuni karibu yote ya America na Europe yanatengenezea bidhaa Asia.............[/QUOTE
Tatizo hajui, hao Apple tu bidhaa zao zinatenenezwa Uchina ,nina Nokia ilinunuliwa New York imetengenezwa Uchina,kama ulivyosema kampuni karibu zote kubwa States hutengeneza bidhaa zao Uchina.Za Kariakoo ndio ziko kiwango cha chini kutokana na kuwa zinatengezwa na SIDO za China na TBS yetu ndio hiyo nayo imekaa kichinachina
Acha uoga,huwezi kumkwepa mchina,hizo kampuni zinatengeneza bidhaa zao china kwa sababu china kuna cheap labour,raw material na tchnology pia iko safi,unafikiri marekani inauzwa bei hiyo?bidhaa mpya kama hiyo ikitoka usa bei yake ungeikimbia!Machozi yana nitoka...nimenunua hp laptop 999,999 shillingi....nikijua hp ni kampuni ya marekani only to find imetengenezwa China ...maskini sijui itadumu maana vitu vya china kila mara ni feki
Wapo karibu na muhimbili ila ni kama nasikia wana-deal na printer tu.kwa hapa dar kuna hp store? au kampuni nyingne ya kutengeneza laptop au agent wa kuaminika.
Wapo karibu na muhimbili ila ni kama nasikia wana-deal na printer tu.
hivi unadhani china ndo hamna vitu original? au unahisi kila kinachotoka china ni "cha kichina??"Machozi yana nitoka...nimenunua hp laptop 999,999 shillingi....nikijua hp ni kampuni ya marekani only to find imetengenezwa China ...maskini sijui itadumu maana vitu vya china kila mara ni feki
Machozi yana nitoka...nimenunua hp laptop 999,999 shillingi....nikijua hp ni kampuni ya marekani only to find imetengenezwa China ...maskini sijui itadumu maana vitu vya china kila mara ni feki
kila kitu kwa sasa ni made in china isipokua watoto tuu tunatengeneza wenyewe bongo