NIMENUNUA HP LAPTOP.... ProBook 4530 ina windows 7 nimesikitika kumbe imetengenezwa China

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Machozi yana nitoka...nimenunua hp laptop 999,999 shillingi....nikijua hp ni kampuni ya marekani only to find imetengenezwa China ...maskini sijui itadumu maana vitu vya china kila mara ni feki
 
Tatizo liko wapi? makampuni karibu yote ya America na Europe yanatengenezea bidhaa Asia.............
 
All manufactures of PC and laptop due to low cost in production do produce products zao China au India Made in China sio kuwa ni fake.
Tatizo kama umeinunua kwa non HP authorized dealer.kama umenunua kwa agent wa HP then akuna tatizo
 
Machozi yana nitoka...nimenunua hp laptop 999,999 shillingi....nikijua hp ni kampuni ya marekani only to find imetengenezwa China ...maskini sijui itadumu maana vitu vya china kila mara ni feki

haina tatizo mkuu viwanda vingi vya us vipo china hivyo products huandikwa hivyo. Hiyo ni genuine hata apple huandikwa hivyo made in china. Usiogope.
 
Mara nyingi zana makampuni ya marekani hasa yanayotengeneza electronic devices design za hizo products huwa zinafanyika marekani but manufacturing ni china kwa sababu ya low cost in production
 
So kijana usiogope kitu ni cha kweli ila na angalia licenced kwa nani kama ni HP then it is okay otherwise imekula kwako
 
Tatizo liko wapi? makampuni karibu yote ya America na Europe yanatengenezea bidhaa Asia.............

Taabu yetu wa Tanzania tumelichukuia hii suala la Made in China kama wimbo-kila kitu toka China ni bomu!

Tatizo ni uelewa wetu mdogo! China ndio watengenezaji wa karibu electronic gadgets zote ziuzwazo duniani! Tofauti ni kuwa nchi ziizoendeea wanazingatia viwango; na China wantimiza viwango hivyo! Kwa hiyo kama umenunua made in China product iliyokidhi standards haina shida!
 
Kuna m2 namfahamu alinunua hp laptop ye mwenyewe kwa authorised dealer marekani na ni made in china. na ni genuine! kama walvosema wadau hapo, low cost of production ndo inavutia makampuni makubwa kuzalishia China.
 
product za Apple original made in Carlifonia assembled in China isipo andikwa hivi ni feki.
 
Usiogope mdau, ni nzuri tu. Nina HP Pavilion Dv series nimeinunua mwaka 2007, made in huko huko, inadunda hadi leo.
 
MKuu, presha yako tu. lakini nina wasiwasi kama maelezo ya wadau utayatilia maanani maana wewe ni sikiolakufa
 
Last edited by a moderator:
coca cola inatengenezwa marekani huku tunafanya bottling, hivyo hivyo vifaa vingi vya electronic, viwanda vinapelekwa china na india, nchi hizo zina watu wengi hivyo cheap labour, apple, dell, blackberry... nokia ukiangalia utaona made in hungary, india, romania, japo hq ni finland...
 
Machozi yana nitoka...nimenunua hp laptop 999,999 shillingi....nikijua hp ni kampuni ya marekani only to find imetengenezwa China ...maskini sijui itadumu maana vitu vya china kila mara ni feki
Ni mpya au ni used? Lakini kabla hujajibu, nikutoe hofu mwana JF, bidhaa za china si feki kama watu wanavyofikiri mitaani, feki ni mfuko wa mnunuzi mwenyewe.

Mimi hapa ofisini kwangu zimefungwa HP compaq dc7900 convertible minitower na Laptops mpya zote made in China mwaka toka mwaka 2008 na mpaka leo zinapiga mzigo kwa kasi ileile inayohitajiwa na kampuni, hakuna tatizo lolote labda kukatika network tu kutokana na server yetu kuzima na hiyo ni matatizo ya umeme wa kibongo.

Katika utengenezaji wa electronic devices China wapo juu sana hata marekani na wenzake wanaelewa, ila sisi wabongo tunapokwenda China kufanya manunuzi tunachukua bidhaa hafifu ili tu-maximize profit.

Usihofu laptop yako ni imara maana naona hata bei yake ni milioni moja sio mbaya, ingekuwa chini ya hapo mmmhhhh..
 
hahahha umenichelesha kweli mm bidhaa zangu zote ni original ila wamezi assemble china hadi i pad yangu . So usiwe na wasi wasi ndio ilivyo
 
kwa hapa dar kuna hp store? au kampuni nyingne ya kutengeneza laptop au agent wa kuaminika.
 
yangu ni hp na ni made by chanese but na mwaka wa pili sasa inapiga mzigo kama kawa...acha uoga mkuu
 
Machozi yana nitoka...nimenunua hp laptop 999,999 shillingi....nikijua hp ni kampuni ya marekani only to find imetengenezwa China ...maskini sijui itadumu maana vitu vya china kila mara ni feki
wakuu nashukuru saaana saaana hofu yangu imeondoka maana dola mia sita si mchezo nimesevu mwaka mzima....ila hii laptop imenifurahisha kitu kimoja hata kui lock....unaweza tumia face recognition....mpaka ikuone ndiyo inafunguka teh teh teh
 
Back
Top Bottom