Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,254
Nikija na "injini kiuno"(basikweli) c utanihurumiaeee!
Hivi kuna watu wanaishi kwa huruma?
A lady wants protection sio pity.
Kua
Nikija na "injini kiuno"(basikweli) c utanihurumiaeee!
Tehe.
Hepi niu iya bht.
sitaji jina naanika pm msome mwandiko mtamjua tu mana ni moja wa maarufu hapa jf.
sitaji jina naanika pm msome mwandiko mtamjua tu mana ni moja wa maarufu hapa jf.
Stand kubwa jaman. Afu ulivyonchomesha mahindi wewe! Ole wako nikukamate..ulinisubiria stendi ipi wewe? jibu haraka kabla sijarudish salam za nu yr
halafu yule alokutongoza naskia alikuja na guta...
Mara hamadi mwandiko wa ODM!!!fanya haraka basi mpolee kopi hata mbili tu za kuanzia, mi nataka nikapate staftahi
Hivi kuna watu wanaishi kwa huruma?
A lady wants protection sio pity.
Kua
kama ilivo kawaida ya wana jf kujifanya mwajua. Kaja na gxmia nimeenda na jeep version 2010 akanywea na kua mdogo kama vile sio kidume kilichokua cha jidai pm. Pole zake cku nyingne jpange kaka
Stand kubwa jaman. Afu ulivyonchomesha mahindi wewe! Ole wako nikukamate..
Yeah alikuja na Guta mbaya zaidi la kuazima... Unanshaurije ndugu yangu? Nimkubali au nimkatae?
Mara hamadi mwandiko wa ODM!!!
teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.
We Mpole hta kama nia yko ni kumpa za uso hujasaidia chochote, kwani jamaa anatumia pm kurubuni. Solution ilikua umtaje live wadada wamjue, vinginevyo umejiumbua. Kongosho nakupa big up kwan unaonekana ni wife material.
Unaua Kongosho......taratibu...
Hahahaha! Mwenzio na buku tano yangu afu nije stand ya ndege???nilikwambia uje stendi ya NDEGE/EROPLENI khaaa! watu engine bana...
mpotezee hadi anunue lake huyo, ndo nini kusafiria nyota za wengine?
HAPPY NEW YEAR SL!!!!:hug:
Hebu na atuwekee uhondo fasta...lol.Si bora ODM...lol! ana PHD ya kutongoza na anajivunia utongozaji
sikuwezi wewe ndio wale wale. endelea kutoa povu lako. kikubwa msg dlivrd. bye
teh teh teh. Acha kudanganya watu kua wewe matawi ya juuuuu. Acha kututongoza mabinti kwa njia ya kua utatuoa imepitwa na wakati. Acha kuazima usafiri kwa ajili ya kujipaisha.
fanya haraka basi mpolee kopi hata mbili tu za kuanzia, mi nataka nikapate staftahi